M MSEHWA Member Joined Apr 21, 2011 Posts 15 Reaction score 0 Jan 10, 2013 #1 WIZARA IMEWALIPA BAADHI YA MADENI YA WALIMU. ILA CHA KUSHANGAZA WALIOLIPWA NI WATUMISHI WACHACHE KULIKO KAWAIDA. ANGALIA HAPA TAARIFA YA MADAI YA WALIMU YALIYOLIPWA KATI YA TAREHE 1 JULAI HADI 30 DESEMBA, 2012
WIZARA IMEWALIPA BAADHI YA MADENI YA WALIMU. ILA CHA KUSHANGAZA WALIOLIPWA NI WATUMISHI WACHACHE KULIKO KAWAIDA. ANGALIA HAPA TAARIFA YA MADAI YA WALIMU YALIYOLIPWA KATI YA TAREHE 1 JULAI HADI 30 DESEMBA, 2012
Possibles JF-Expert Member Joined Sep 22, 2011 Posts 1,933 Reaction score 2,439 Jan 10, 2013 #2 Shukrani sana mkuu kwa hii taarifa.Imenifaa mno
L Luraja Member Joined Oct 15, 2012 Posts 27 Reaction score 4 Jan 10, 2013 #3 Hii inatia hasira kuona serikali inawalipa walimu wawili katika wilaya wakati kuna zaidi ya wlimu mia wanaoidai serikali.Kweli serikali yetu ina jambo ililokusudia kwa walimu na watoto wa walalahoi
Hii inatia hasira kuona serikali inawalipa walimu wawili katika wilaya wakati kuna zaidi ya wlimu mia wanaoidai serikali.Kweli serikali yetu ina jambo ililokusudia kwa walimu na watoto wa walalahoi
J JOVIN R.B New Member Joined Jan 9, 2013 Posts 4 Reaction score 0 Jan 10, 2013 #4 Inakera sana. Kwa nini haki inakuwa ngumu?