Hatimaye wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi imefanya mapitio ya walimu waliohitimu mafunzo ya shahada na kugundua kuwa kuna baadhi yao waliachwa kimakosa huku wakiwa na somo la kufundishia sekondari. hivyo basi kwa walimu wote waliosoma (bed---) na wenye somo mmojawapo la kufundishia sekondari wameajiriwa rasmi na wizara. kwa maelezo zaidi tembelea,
www.moe.go.tz
poleni wadau kwa stress zilizowapata siku chache zilizopita na hongereni pia kwa kupata ajira mpya. mungu awatangulie ktk kazi zenu.