wizara ya elimu

bulama

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2012
Posts
561
Reaction score
135
Idara ya elimu kwakweli mnatia aibu kwa utendaji kazi wenu uliochini ya kiwango. Hiyo ikiwezekana ifumuliwe na,kupangwa upya. Rushwa imejaa kuanzia msijara mpaka .......æ.... Hivi sasa ukitaka mambo yaenda lazima upige safari kweda wizarani ukifika pale mazingaombwe yanaanzia kwenye mafaili unaweza kaa wiki nafaili usilione. kwakweli mnakela sn.
 
siku elewi mana mambo yote ya walimu yapo tamisemi wizara ya elimu imebaki na utekelezaji wa policy tu.wewe ulienda wizarani kutafuta faili gani?
 
Vyuo vya ualimu na ukaguzi bado wanahudumiwa na wizara ya elimu. Ndo sisi tunafanyiwa hayo
 
Takukuru ni walewale tu. Cha maana kuvunja tu ile idara kuisuka upya
 
Ile Idara ya Ualimu ina vishoka ndani yake kazi yao kuomba mgao toka vyuo vya ualimu, angalia thread kuhusu chuo cha ualimu Korogwe,
Kweli Wizara ya Elimu hakuna cha maana wanachofanya kuhusu elimu yetu, ukaguzi huko mmmmhh!
 
Kabla hii idara haijaleta shida kubwa kwa nchi tunahitaj kufanya kitu. Kutokana na huo ukishoka wao ndo siku hizi za karibuni unaona matokeo mabovu ya mitihani ya ualimu.

Rushwa nyingine ipo kwenye upatikanaji wa wanachuo. kwenye internet website ya wizara kuna mwisho chaguo la II lkn vyuoni majina yamekuja mafungu zaidi ya hicho mionacho kwenye net.

Pale pameoza mno wanahitaji kufanya kitu kunusuru elimu ya ualimu nchini.
 
wizara inaogozwa na shehe unategemea nini? Angalia moro university ilivyo/inavyosimamiwa
 
Wasipoangalia elimu inaelekea mitaroni
 
Inaelekea mtarani kwa mara ya pili au tayari iko kwenye handaki
Yaani shule za Msingi wanatoa wasiojua KKK sekondari wanataga mayai matupu
Hata wanaopata Div III wana maarifa, nyie watu wa elimu acheni kuwaza matumbo leteni elimu kwa watoto wetu
 
Tusubiri maajabu ya mwaka huu ya Darasa la Saba, wonders never cease inchi hiiiiii
 
Darasa la nne ndo vioja vitupu
 
wizara inaogozwa na shehe unategemea nini? Angalia moro university ilivyo/inavyosimamiwa

By Shori MN
Hapa tunazungumzia habari ya elimu ya Tanzania inayohusu watanzania wote.
Habari za shehe, kasisi, pastor na padri hapa hatuzungumzii elimu za dini
Matabaka ktk elimu hatutakiiii
 
Hapa nijinsi ya kuifanya idara ya ualimu inyoweza jirekebisha. Maana imekuwa kenge mno
 
By Shori MN
Hapa tunazungumzia habari ya elimu ya Tanzania inayohusu watanzania wote.
Habari za shehe, kasisi, pastor na padri hapa hatuzungumzii elimu za dini
Matabaka ktk elimu hatutakiiii

Rudia tena kusoma nilichokiandika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…