Gerald David
Member
- Nov 2, 2010
- 10
- 0
Nina uhakika kati ya watu 200 sitokosa..CV nimeshaiandaa ni kuituma tu!..btw, NAO wametangaza shortlist?
POLITIKE......Billioni moja kwa watu 200 ni sawa na basic ya Ths 416,666.67 per month kwa average ya mwaka maana budget ya mwaka...hapo mbwembwe tupu!!!!.mtakuwa mmenisomaNaibu waziri fedha ameliambia bunge asubuhi ya leo kuwa wizara ya fedha imetenga kiasi cha Tsh. bilioni moja kwa ajili ya kuajiri wafanyakazi wapya 200 katika mwaka huu wa fedha, aidha waziri amesisitiza uharaka wa kutangaza ajira hizo ili ziweze kusaidia upungufu wa wafanyakazi katika wizara hiyo.
haya wajomba mwezi wa saba wizara ya fedha wanatemesha mzigo kaeni mkao wa kula.
Nadhani wewe unasoma Banking/Finance...!nimetoka kwenye paper la INTERNATIONAL TRADE FINANCE Sasa hivi................. hapa CV nmeshka mkononi, sikosi hapo.......kwishney!!!!!
Nitumie kimemo nikuhakikishie utapata....!Nina uhakika kati ya watu 200 sitokosa..CV nimeshaiandaa ni kuituma tu!..btw, NAO wametangaza shortlist?
120 nadhani watakuwa ...(memo style) ....
Divide by 12 maana ni budget ya mwaka mzima1000,000,000/= divide by 200 = 5,000,000/= hiyo figure inamaanisha freshers watakuwa wachache kwa maana hiyo bilioni moja iliyotengwa ni kwa ajili ya new promotions labda na ma xpertriate, nawakilisha
Ulijuaje mkuu?''kamlete'' style120 nadhani watakuwa ...(memo style) ....