Wizara ya fedha mnampango gani?

kiwadama

Member
Joined
Feb 9, 2011
Posts
13
Reaction score
0
jamani mimi kila kukicha namwomba mungt wizara ya fedha waachie zile nafasi zao kwan zile huwa azimwachi m2. Labda uwe una sifa.JAMAN KAMA KUNA M2 ANA HABARI KUUSU LINI AU MWEZ GANI ZITATOKA ANIJULISHE NIJIPANGE.. PIA VP KUUSU ZILE ZA UTUMISHI WAMETOA MAJIBU? NAONA KIMYA YAPATA MWEZ WA 5 SASA.
 
serikali haina hela. IMEUWAWA
Dont expect any new employments at least until september

Tafuta kazi private sector achana na mambo ya kizamani serikali haina loopholes tena, waulize waliopo serikalini wakwambie
 
tunatafuta posa za RA kwanza then kuajiri badae 2014 or 2015 mwanzoni
 
Mh!inaonekana huna taarifa za kutosha fatilia vizuri,watu wengi huwa wanakosa!!
 
serikali haina hela. IMEUWAWA
Dont expect any new employments at least until september

Tafuta kazi private sector achana na mambo ya kizamani serikali haina loopholes tena, waulize waliopo serikalini wakwambie

Teh teh!loopholes zipi hizo mkuu au zile za wizi wa mamilioni ya fedha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…