MovingForward
JF-Expert Member
- Nov 10, 2009
- 489
- 49
Ndg zangu, leo nimepitia tovuti hii: The Tanzania National Website, unapofungua tu unakutana na maneno yanayosema " Today is 27th November 2009". Hii ni aibu. Yaani wataalamu wenu wameshindwa kuseti tovuti yenu iwe inashindwa hata kukumbuka tarehe???? Kama mmeshindwa kuweka taarifa zinazokwenda na wakati, hata tarahe nayo mmeshindwa kuseti vizuri.
Huu ni uzembe.
Huu ni uzembe.