Ndg zangu, leo nimepitia tovuti hii: The Tanzania National Website, unapofungua tu unakutana na maneno yanayosema " Today is 27th November 2009". Hii ni aibu. Yaani wataalamu wenu wameshindwa kuseti tovuti yenu iwe inashindwa hata kukumbuka tarehe???? Kama mmeshindwa kuweka taarifa zinazokwenda na wakati, hata tarahe nayo mmeshindwa kuseti vizuri.
Ndio hivyo tena ndugu yangu, nchi ya kitu kidogo hakuna la maana linalofanyika. Pole kwe kukwazika. Wataalamu wapo, ila hawapewi nafasi kwa sababu wengi wao sio watoto wa wakubwa!