Wizara ya kilimo mnasubiri nini kutoa muongozo wa bei ya choroko?

viva666

Senior Member
Joined
Oct 11, 2016
Posts
111
Reaction score
117
Hii wizara inangoja nini kutoa mwongozo wa zao la choroko kuhusu bei maana imekua kimya alimanusura tupo Afghanstan.

Waziri husika embu changamka sio mpaka Rais Samia afanye kila jambo.

NB: Wanyonge wamezika hela humo kwenye kilimo hiko sasa kuzifukua imekua shida kubwa!
 
Subira
 
Back
Top Bottom