Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na wenye Mahitaji Maalum Dkt. Dorothy O. Gwajima. Ametoa ahadi kwa kijana Edward Futakamba kupitia Wizara watampa tuzo ya Mwanaume bora ili kuhamasisha watu wengine hata katika mapito magumu ukisimama unabaki na hekima halafu unapandisha hadhi yako.
Ametoa ahadi hiyo kwa njia ya simu kupitia mahojiano yalifanywa na MillardAyo na kumpongeza kwa kuwa mtulivu bila kuzingatia nini kimetokea katika mapito yote hayo lakini alionyesha kutulia na kubeba hekima.
Soma Pia: Afanya sherehe ya harusi bila Bibi Harusi, baada ya kikeni kuzingua dakika za jioni
Aidha Dkt Gwajima amesema kama Wanaume wote watakuwa wapo hivyo hakika tutapunguza ukatili na Wanaume kufungwa kwenda jela kwa sababu ya jaziba.