wizara ya maji hoi kifedha

kidumba

Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
72
Reaction score
66
Habari toka ndani ya wizara ya maji zinasema hakuna ppesa za kutekeleza miradi ya maji waliyopanga kuitekeleza chini ya mpango wa BRN baadhi ya makandarasi tayari wanaonja hiyo joto ya jiwe wengine hawajalipwa madai yao kwa miezi miwili sasa na hakuna dalili ya kulipwa,kwa taarifa zisizo rasmi zinasema wafadhili wamegoma kuweka fedha kwenye kapu lao mpaka wapate taarifa za kuridhisha kuhsu matumizi ya pesa zilizotangulia.My take serikali ibadilike imekuwa ikipanga mambo mengi bila kuwa na fedha ikitegemea wafadhili,wafadhili wakigoma hatuna pa kwenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…