Wizara ya Maji ijikite kupeleka huduma maeneo yasiyokuwa na maji badala ya kufikiria kuchukua miradi ya wanavijiji

Wizara ya Maji ijikite kupeleka huduma maeneo yasiyokuwa na maji badala ya kufikiria kuchukua miradi ya wanavijiji

Mparee2

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2012
Posts
3,092
Reaction score
5,386
Natamani waziri husika awaelekezi hivi; Wanapofika maeneo ya vijijini ambapo wananchi wamehamasika kwa gharama zao wenyewe wakajitengenezea miradi yao ya maji safi, wasiwaingilie miradi yao.

Hii nchi ina maeneo mengi yana shida kubwa ya maji, hivyo wajikite kupeleka maji maeneo yasiyokuwa na maji badala ya kufikiria kuchukua miradi ya wanavijiji kwani kwa kufanya hivyo, wanaweza kuleta changamoto mahala ambapo hapakuwa na tatizo.

Na kama wananchi wanamradi wao mdogo, idara ya maji watengeneze mradi wao mkubwa, wananchi wenye kuhitaji maji watajiunga na maradi wao.
 
Back
Top Bottom