Wizara ya Maji kuna hoja hapa inahitaji majibu

Wizara ya Maji kuna hoja hapa inahitaji majibu

Serikali imejaa majizi hayafanyi kazi yanataka fedha
 
Elimu kwa wananchi ni muhimu sana ili wafahamu wajibu wao vinginevyo ni kutowajibika kwa wizara husika!
 
Nchii hii haijawai kuwa na hekima

Imo imo tuuu
Mfano Ngoro*2 ati ni hiarii ati kutuuu
 
Serikali imejaa majizi hayafanyi kazi yanataka fedha
Huko kwenye Maji ndio uchochoro wa kujichotea hela, kupitia kandarasi za kihuni na 10%.
Kuna mbwembwe wakati wa uzinduzi wa 'mradi', baada ya hapo maji yanakauka kama msimu wa mvua ukatikavyo.
Mh. Samia anafahamu vizuri alichoshuhudia Mlowo akiwa Makamu Raisi (wakati wa uzinduzi wa mwenge).
 
Mh. Samia anafahamu vizuri alichoshuhudia Mlowo akiwa Makamu Raisi (wakati wa uzinduzi wa mwenge).
Morogoro ilikuwa haina maji mwezi wa 7 wote, Samia ameingia sasa hivi maji yanatiririka kila kona mji mzima hakuna mgao as if Samia ndiye mtumiaji mkuu wa maji
 
Mhuni Awwso atakodisha kamera za tv na redio ili apayuke kuhusu hili
 
Hoja ya wananchi hapa wanataka mchango wao katika kufanikisha mradi huu utambulike na upewe thamani. Kwa kifupi wanataka wawe wabia (shareholders).
 
"....Unavunaje shamba ambalo hukulilima"? Ndilo swali linalotakiwa kujibiwa na serikali katika sector zote ambazo serikali haijatia mkono wake kusaidia chochote kile lakini wanakuwa wa kwanza kwenda kutoza fedha...
 
Back
Top Bottom