Watu wameanza kuamkaHuyu Mzee sijui anaongea kutoka kijiji gani ila lafudhi ni ya Kibena, yaani watu wa Njombe ana hoja asikilizwe!View attachment 3062484
Naona kunaanza kupambazuka baada ya usiku mneneHuyu Mzee sijui anaongea kutoka kijiji gani ila lafudhi ni ya Kibena, yaani watu wa Njombe ana hoja asikilizwe!View attachment 3062484
Huko kwenye Maji ndio uchochoro wa kujichotea hela, kupitia kandarasi za kihuni na 10%.Serikali imejaa majizi hayafanyi kazi yanataka fedha
Morogoro ilikuwa haina maji mwezi wa 7 wote, Samia ameingia sasa hivi maji yanatiririka kila kona mji mzima hakuna mgao as if Samia ndiye mtumiaji mkuu wa majiMh. Samia anafahamu vizuri alichoshuhudia Mlowo akiwa Makamu Raisi (wakati wa uzinduzi wa mwenge).