Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Pia, Wizara imesema kuna Mfumo wa Kidigitali wa Serikali ambao unapokea na kushughulikia malalamiko pamoja na kuyawasilisha Wizarani moja kwa moja na pindi Askari akibaini kuhusika na vitendo hivyo, hatua kali huchukuliwa zikiwemo kushtakiwa kijeshi, kufukuzwa kazi na kufikishwa Mahakamani.
Wizara imetoa kauli hiyo baada ya Wabunge Usi Salum Pondeza na Ester Matiko kuhoji ni utaratibu gani Wananchi wanapaswa kufuata wanapobambikiwa Kesi na malalamiko mengine na hatua gani zimechukuliwa dhidi ya Maafisa wanaobainika kufanya vitendo hivyo.
Pia Soma:
- Waziri wa Mambo ya Ndani, Masauni aitisha Kikao na Uongozi wa Juu wa Jeshi la Polisi