Jeff
JF-Expert Member
- Sep 26, 2009
- 1,293
- 200
Ndugu zangu habari za jumapili, naomba msaada wa kujua kama wizara ya mambo ya nje na ushikiano wa kimataifa wana notarize/certify vyeti. Kuna chuo nimeomba nje ya nchi wananiambia nikanotarize/certify vyeti wizara ya mambo ya nje.
Nimewatumia vyeti ambavyo viko certfied kutoka mahakamani wamevikataa.nikaenda baraza la mitihani na wenyewe wanacertify lakini chuo wanataka viwe notarized kutoka ministry of foreign affairs.Ndio nataka kwenda huko lakini kabla sijaenda kama kuna anayejua anijuze kabla sijaenda mana natokea mkoani.