Mkuu SG8, nilienda tcu wameniambia wao wanacertify vyeti ambavyo mtanzania amesomea nje ya nchi so akirud ndio anapeleka chet chake kucertifyHebu check TCU kama wanafanya hiyo kazi kupitia Home - Tanzania Commission for Universities
Ndio ndugu.
Wizara huwa wanafanya hiyo shughuli na hutoza kiasi flani cha pesa, nadhani kati ya elfu ishirini na tano mpaka hamsini.
Na pia wana cku na muda maalum (mara mbili kwa wiki). Ungeenda pale ukapata maelezo vizuri[/QUOTE
asante mkuu.jumatatu kesho nitaenda.nashukuru kwa kunipa mwanga
Umesoma chuo gani?