Wizara ya Michezo na Taifa Stars chukueni ushauri huu kama mnataka matokeo makubwa siku zijazo

Wizara ya Michezo na Taifa Stars chukueni ushauri huu kama mnataka matokeo makubwa siku zijazo

Samico Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2022
Posts
486
Reaction score
1,237
Nimeangalia mechi zote za taifa star!
Nikaona upo umhimu wa kubadilisha mbinu za kuchagua wachezaji wa taifa!

Samatta ni mchezaji mzuri lakini hafai kuitwa timu ya taifa kwasababu yupo katika expiring date!
Hatukatai ubora wake wa zaman lakini haiondoi ukweli kwamba hata sumu ikiwa kali namna gani huisha nguvu hivyo siyo busara kumtegemea!

Kwanza kabisa wachezaji wakubwa Hawana kipya cha kuipambania team maana wanamikataba mingine na majina kwenye timu zao kubwa!

Taifa la tanzania lina wachezaji vijana wazuri tu huko mikoani ambao wanaweza kuishangaza dunia kwa matokeo bora!

Tumieni wachezaji vijana kutoka mikoani wenye uwezo wa kuipambania team ili waonekane!

Pia tumieni kocha mzawa kama MGUNDA au wengine wazawa achaneni na wazungu !

Wekeni team ya taifa active ikiwezekana ishiriki hata ligi kuu ya NBC ili ijulikane kabisa hii ni timu ya Taifa (mnaweza hata kumpa muwekezaji kama zabuni)

Taifa la watu zaidi ya Million 70 haliwezi kukosa vijana 30 wa moto kwenye soka!

Hata ukimpa kazi kila mkuu wa mkoa asake kipaji cha vijana wawili tu wa moto kutoka kila mkoa!

Wapo wengi mno!
 
Waanze kumuondosha yule Mzanzibar!

Yaani kocha mnamuweka Mnzazibar?

Kwa ukocha gani alionao!

Kweli TFF NI GENGE LA WAUNI WALIOJIFICHA KWENYE UONGOZI WA SOKA
 
Back
Top Bottom