Wizara ya Nishati na Madini: Tanzania kuuza umeme Kenya na Zambia

makolola

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2014
Posts
765
Reaction score
289
Najiuliza kabla ya kuanza kuuza wameshatenga ni kiasi gani watatumia kuanzisha viwanda vipya ili kuongeza ajira nchini?

wamefikiria ni namna gani nchi nzima itafaidika na umeme huo kabla ya kuanza kuugawa kwa wageni hasa ukilinganisha ni 10% ya watz wanafaidika na umeme kwa sasa?

wameshaangalia namna ya kuwapatia wananchi unafuu wa maisha kwa kushusha bei ya umeme?


 
Utawezaje kutoa chakula ndani wakati watoto wako wakufa na njaa ? Utakuwa baba wainagani ww?
 

Wewe kweli una akili?sisi hatuna umeme wakutosha utautoa wapi umeme wakuuza una chekesha mkuu nenda shule hata ya msingi
 
Ndo uchizi unaanza hivi Tz umeme wenyewe wa shida thn wauze nje....sa ndo hatutatumia umeme tenaaa
 
Wewe kweli una akili?sisi hatuna umeme wakutosha utautoa wapi umeme wakuuza una cekesha mkuu nenda shule hata ya msingi

BOMBA LA GESI LIKIKAMILIKA TANZANIA ITAZALISHA UMEME MWINGI SANA (3,000 megawatts) , ni kiasi kikubwa sana kiasi kwamba kama unaingia ubia na mtu yeye ndio atakuwa anachukua kwako. tunalia lia kuwa shirikisho la afrika mashariki liende taratibu kujua faida za kila mshirika lakini ukweli ni kuwa tanzania ni nchi yeye mali ghafi nyingi isiyokuwa na viwanda vya kutosha, sasa badala ya kuangalia ujijenge vipi ndani ndio utoke nje unazidi kumpa mpinzani wako nishati?
 
Utawezaje kutoa chakula ndani wakati watoto wako wakufa na njaa ? Utakuwa baba wainagani ww?

Yaani saa nyingine mtu unaweza kusema watu wamelogwa! lakini hili sio bure, niukosefu wa talanta ya uongozi katika serikali ya nchi yetu! wengi wa viongozi wetu niwaigaji wa maendeleo ya nchi kubwa kiuchumi duniani bila kuwaza wenzetu walijifanyia nini kwanza ndio wakaangalia na jirani zao! sasa huo umeme utatumika kwenye viwanda vya majirani zetu na uchumi wao kuwa mnono maradufu huku sisi tukingojea kubatizwa jina la WALAJI wa bidhaa na WATUMIAJI wa bidhaa hizo kutoka nchi hizo jirani! na uhakika wa malipo ya huo umeme matokeo yake itakuwa ni manufaa kwa wachache tukiachia MADINI na ARDHI kwani hakuna tunachofaidika nacho kwa miaka 50 sasa! lakini ujinga ni wetu sisi watanzania hatuchagui wanaofaa wacha tuteseke!
 
Kama tungekuwa na serikali makini, hili lingekuwa ni suala lililotimia mwishoni mwa miaka ya themanini. Lakini kwa serikali tuliyonayo, hata hili ni ndoto za alinacha.
 
Ahsante sana Mkuu ni upumbavu mkubwa kufikiria kuuza umeme nchi za nje wakati watumiaji wa umeme wa Tanzania hawajafika hata 20% ya population.

Utawezaje kutoa chakula ndani wakati watoto wako wakufa na njaa ? Utakuwa baba wainagani ww?
 
Post hii haina ukweli, hata ukisoma kwa makini hiyo taarifa ya Badra Masoud, haisemi kuwa Tanzania itauza umeme nje. Hapa Tanzania itakuwa ni njia ya kupitisha umeme kutoka Zambia hadi Kenya. Wanaouziana umeme ni Zambia na Kenya, Tanzania itapata faida ya kuhost mradi kati ya nchi hizi mbili, kama njiabya kupitia umeme huo. Tuwe makini wakati tunasoma taarifa kama.
 

Tukiwaambiaga vijana wa ufipa uwezo wao wa kuchanganua mambo ni mdogo na ni wavuta bangi mnakataa. Wao huwa hawasomi threads na kuielewa bali huwa wanakurupuka kama watu waliofumaniwa guest kuja kuchangia pumba. Ndio maana wameshindwa hata kuwashawishi watu makini kujiunga na chama chao. Wao wanapenda watu local kuanzia mwenyekiti wao hadi bavicha wote ni empty set.

Ilikua ni aibu mtu kama Zitto kukaa na wapuuzi hao. Zaidi alikua anakibeba chama kwani chadema kumejaa vilaza wengi. Kuna taahila moja linaitwa BAK nafikiri ndo linaongozaga kwa kuandika pumba alafu linajiona nalo lina akili. Ushuzi mtupu.
 
DUH KAMA ZE COMEDI VILE AHHHHHH AHHH dada Badra umetisha mama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…