Wizara ya Sheria yamwekea Rais wa Korea Kusini zuio la Kusafiri nje ya Nchi huku ikimchunguza kwa Uasi na Uhaini

Kuna Nchi Wana katiba nzuri sana

Imagine Bunge lina tengua kauli ya Rais wa Nchi

Wizara ya Katiba inampiga marufuku Rais wa Nchi kusafiri nje ya Nchi ili Vyombo vya Usalama vimchunguze

Njoo sasa kwenye Nchi yetu uone maajabu 🙌
Huo ndiyo utofauti wa Katiba na vikaratasi! Hata Rais wa nchi hakoi mbele ya Katiba sembuse kuisigina.
 
Kufikia hiyo hatua ni sawa na jua kubadilika mfumo wake asilia.
 
Kufikia hiyo hatua ni sawa na jua kubadilika mfumo wake asilia.
Umesema sahihi Mkuu, watu wa ku-influence hayo walitakiwa kuwa Vyombo vyetu vya Usalama

Lakini bahati mbaya, nao wamegeuka walinzi wa hawa watawala wetu waonevu
 
Huo ndiyo utofauti wa Katiba na vikaratasi! Hata Rais wa nchi hakoi mbele ya Katiba sembuse kuisigina.
Hakika Mkuu

Kule Viongozi Wana heshimu Mali pamoja na kuwalinda raia wao.

Huku kwetu watawala wetu ndiyo Wezi pamoja na madalali wa kuuza Mali zetu kama ni Mali za familia zao

Ajabu na Vyombo vya Usalama vinaendelea kuwalinda tu 🙌
 
Wanagawana matonge tu wenyewe kule meza kuu nyinyi wengine mliojoleta mtakula mlipopeleka mboga
Kwa kweli inaumiza sana Mkuu

Ni vile Wananchi hatujaamua kuwasuribisha hawa Viongozi.

Haiwezekani maslahi ya watumishi yachezewe kiasi hiki lakini bado waendelee kuwachekea tu 🙌
 
Yangaa hiooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…