Wizara ya Utamaduni na Utalii: Nimeandika makala nzuri ya Morogoro, nimepigiwa simu na makampuni tisa ya utalii Arusha wakiuliza namna ya kufika

Msomi wa degree mbili, mwanahistoria nguli, uliye mzalendo, nisaidie huyu TINDU LISSU ndiyo huyo TUNDU LISSU??

Jimbo la Morogoro mjini akitoka Abood anaingia Rostam, wewe endelea kukaribisha wageni na historia za mapokeo za joka la vichwa 7.
Utapata ajira za kutembeza mabeberu watakupa na tips!

Everyday is Saturday............................... 😎
 

Kila nikisoma maandiko yako huwa najisikia aibu sana moyoni.
Najua una hali ngumu Mungu akufanyie wepesi mkuu, siku moja wakuone wakuite wakupe hata mkate kuliko kuendelea kuweka aibu kama hizi mtandaoni
 
Unaandika uzi mrefu afu unachoandika ni utopolo mtupu....

Unatusumbua na maada zako
 
Fungua Social page (Website/ Fb page/ IG page/ Youtube ) uwe unachapisha makala zako
 
Amsterdam atakuwa anafurahi sana kwa hii comment yako
Huo ni ukweli usiopingika. Huwezi kuta Mzungu anaua Mtoto wake au Mzazi wake au Mwenza wake au kutoa sadaka yeyote ya damu kisa UTAJIRI au MADARAKA au CHEO. Wafrika ndiyo jadi yao. Huwezi tofautisha mwenye elimu ya darasani na yule mwenye elimu ya giza.
 
Concentrate on issues not a person

Hoja yako ilenge hoja sio mtu... Watanzania tubadili namna yetu ya kuwasiliana ndio maana mnashabikia na kutukuza Wazungu.
unatumia Internet ya mzungu kumdis mzungu. Eeeeh bhagosha!!!!!
 
Watu wa Morogoro walilala naye? Wote kabisa? Aliwaweza? Anajua kukata mau.....?



Taratibu mkuu,
Mimi pia natoka Mkoa wa Morogoro na wengine wengi tu humu, Lakini hatupo kama ndugu yetu huyu. πŸƒπŸ»β€β™‚οΈπŸƒπŸ»β€β™‚οΈ
 
Kumbe Nabii Nuhu alifika Morogoro na Safina yake dah! Kuabudu mtu inabidi umkabidhi ubongo aisee!! [emoji32][emoji32]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…