Wizara ya Utamaduni na Utalii: Nimeandika makala nzuri ya Morogoro, nimepigiwa simu na makampuni tisa ya utalii Arusha wakiuliza namna ya kufika

Kulikua hakuna ulazima wa kumuongelea Lissu maana avatar yako tu utatea CCM
 
Mtu kama huyu na ma- degree yake anaitia aibu sana CCM! Huyu hana tofauti na yule Mama Naibu Waziri wa Fedha!
Eti Wizara ya Utamaduni na Utalii!

Mtu kama huyu anavyojipendekeza usijekuta akiteuliwa kuwa DC na kichwa chake "cheupe" hicho!
 
Huu muda wakuandika upuuzi unaupata wapi?
 
Mchambuzi wa soka jana katajwa na PM bungeni ko connect dots 😂😂😂
 
Taratibu mkuu,
Mimi pia natoka Mkoa wa Morogoro na wengine wengi tu humu, Lakini hatupo kama ndugu yetu huyu. 🏃🏻‍♂️🏃🏻‍♂️
Anasema eti walilala naye! Huyu jamaa mpuuzi sana kujipendekeza mpaka anakuwa kama mjinga!
 
Yaani makampuni ya kitalii yamuulize MATAGA jinsi ya kufika mt. uruguru?
Huyu MATAGA hajui kampuni za kitalii ni taasisi,ina watalamu wa kila kitengo.
 
Bora mabeberu yalitutesa lakini sasa yanatupa msaada,kuliko beberu jeusi linauwa na kupendelea kwao.

"Ww kijana acha kutegemea ajira, jiajiri mwenyewe"
Job Ndugai☝️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…