A
Anonymous
Guest
Wanabodi
Nina jambo nimepenyezewa na mdau wa Wizara ya Uvuvi kuhusu mchakato wa mabadiliko ya Sheria ya Uvuvi hasa ufugaji wa samaki au viumbe wa majini.
Unaambiwa Waheshimiwa wa hiyo Wizara wanapambana vyovyote iwavyo kuwabeba Wachina kumfurahisha Ulega kwa kubadilisha Sheria itakayowafanya Wachina kubeba rasilimali zetu bila kulipa chochote kwa kisingizio cha kufuga viumbe wa baharini lakini kiuhalisia hawatakuwa wakifuga bali kukusanya viumbe kwenye bahari ya kawaida.
Mdau anasema kwa sasa kuna ushuru wanalipa (exports) lakini wenye sifa ni wazawa kwahiyo wachina wanapambana waingie wao kama wao na wazawa wawekwe pembeni.
Sasa nchi yetu wenyewe lakini hata kazi ndogo ya kukusanya kaa wa baharini wanapewa wachina tuna nchi kweli? wakati mwingine unawaza kwanini tunasomesha watu mpaka kupata madigrii lakini hawasaidii nchi?
Taarifa nyeti zinasema Bwana Ulega kawekwa sawa na Wachina kaahidiwa kusaidiwa pesa za uchaguzi na wachina anapambana kufa na kupona hiyo sheria ipite.
Nimewatonya, tutaweka taarifa wakishaipitisha hiyo sheria yao.
Ulega hiyo sheria ikipita tutakulaani na watanzania watakulilia