Kwahiyo inabidi wajenge majengo mengine ,waajiri katibu na wafanyakazi kibao wa hiyo wizara au wata-attach wizara nyingine kwanza?Salut kwenu great thinkers wa jukwaa hili la JF.
Binafsi hii wizara mpya inayoitwa wizara ya vijana naona lengo lake ni kuwapa nguvu vijana wajinga kama Lucas Mwashambwa waendelee kusifu madudu yanayofanywa na serikali.
Rai yangu kwa vijana wenzangu, tusikubali kabisa kutolewa kwenye relief na cheap propaganda zinazoendelea nchini Wala kuwa excited na hii wizara ya vijana, IPO kwaajili ya kitupumbaza focus yetu ni December 9.
Exactly chief! This is non sense, kipaumbele chetu sio VIZARA. ni katiba mpya, tume huru ya uchaguzi ili na sisi tuishi maisha ya akina WANU na ABDULKwahiyo inabidi wajenge majengo mengine ,waajiri katibu na wafanyakazi kibao wa hiyo wizara au wata-attach wizara nyingine kwanza?
Mama yenu haelewi changamoto za vijana.Naona umechanganyikiwa kabisa.
Ukweli 100 kwa 100Vijana hawaitaji wizara vijana hawaitaji siasa maisha yao si ya kuanza kuwauliza uliza mnajiwa wanaitaji nini it is urgently thing iyo wizara ni ushuzi