Wizara ya Viwanda na Biashara ipo kwenye mchakato wa kuanzisha Wakala wa Shopping Malls Tanzania

Mifumo ya marehemu alikuwa anafanya KAZI Sana na pengo lake haliwezi kuzibika MILELE wataipigania tu
 
Back in time !!!! It's like RTC (Regional Trading Company); but in a different form.
 
Nani anaanzisha na kujenga hizo shopping malls?

Yaani,nani wamiliki wa hizo shopping malls?

Kama ni wafanyabiashara binafsi basi huo wakala ni useless!

Kama mjenzi na mmiliki ni serikali basi naona serikali imekosa kazi za kufanya maana huu ni upumbavu jumlisha upumbavu!
 
Ni Bora walifanikiwa wanashangaa kununua bidhaa Tu yawezekana elimu zenu zinawanufaisha IPO siku tutaenda Ujerumani
 
Hata hawa hapa Bora wamefanikiwa kushangaa barabara nzuri saizi

Hata hawa hapa Bora wamefanikiwa kushangaa barabara nzuri saizi

Mkuu

Barabara ni public utility infrastructure!

Infrastructure hujenga serikali!

Vitu ambavyo sio infrastructure/miundombinu wanajenga sekta binafsi na kuna reason for that!

Leo serikali inajenga maduka?

Man,they must be insane!

Wananchi wafanye nini sasa?
 
Labda hujui nini maana ya sekta binafsi kwako ni maamuzi au mtaji!? Ni bora tupo wengi kila MTU huendelea na maisha maana siyo KAZI shopping malls na soko nini tofauti!?
 
Ni rahisi kupigaiza mzunguko Tu Unajenga flame IPO siku itakuwa shopping malls watu wake kununua vitu public utilities Tuendelee Kufanya maendeleo ambayo IPO siku tutayachukia
 
Labda hujui nini maana ya sekta binafsi kwako ni maamuzi au mtaji!? Ni bora tupo wengi kila MTU huendelea na maisha maana siyo KAZI shopping malls na soko nini tofauti!?

Shopping mall na soko ni vitu viwili tofauti acha upumbavu mzee!

Soko hadi watu wanakunya mchana peupe!

Mall is modern well organized facility with sophisticated running procedures only private ownership can assure,govt can not!

Najua maana ya sekta binafsi,dont test my skills!
 
Ni rahisi kupigaiza mzunguko Tu Unajenga flame IPO siku itakuwa shopping malls watu wake kununua vitu public utilities Tuendelee Kufanya maendeleo ambayo IPO siku tutayachukia

Flame ni nini mzee?

Flame ndio frame?

I’m done with you!
 
Utatafuta tofauti MILELE daima
 
KAZI Sana ni UTU wa MTU kutokuelewa nimekuwekea taasisi na vitu wanavyoshangaa wengine manunuzi/barabara kwisha

Umeniwekea ujenzi wa “infrastructures” ambazo ni kazi za serikali na ujenzi wa malls ambayo ni kazi ya private sekta mzee?

Kuna reason for that!

Kwamba muundo mbinu ni serikali na vitu vidogo vidogo ni private sekta!

Hueleweki mzee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…