Wizara ya viwanda na Biashara itangaze tarehe ya kuanza kwa maonyesho ya kimataifa ya biashara-sabasaba 2020

Wizara ya viwanda na Biashara itangaze tarehe ya kuanza kwa maonyesho ya kimataifa ya biashara-sabasaba 2020

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Ni muda umefika tarehe itangazwe kuanza maonyesho ya kimataifa ya biashara sabasaba

Wizara itoe mialiko kwa wafanyabiashara ndani na nje ya nchi kwa haraka

#hapakazitu

#MATEGE
 
Mambo mengi muda mchache

Jamaa wanawaza vitu vingi

Huku corona
Huku Lisu
Huku chadema
Huku uchaguzi
Huku miradi imesuasua

Hiyo Trade Fair haipo kwenye priorities
 
Back
Top Bottom