Kuhusu kua na matokeo mabovu kuna iijitu lilisemaga..ni kipindi cha mpito tu baada ya miaka kadhaa mambo yatakua sawia ktk shule za kata.
Sasa cha kujiuliza hizi zero za kipindi hicho alichokiita cha mpito sijui tunazifanuia nini..
ni hivii. wengi wenye 1,2,3 hawatachaguliwa kujiunga na advance then option ya mwisho ni kujiunga na ualimu na kwa upande mwingine serikali ishatosheka na idadi ya walimu haswa wa arts na ndo maana kuna walimu kibao wapo mtaani hawajaajiriwa mwaka huu na kwa tetesi zilizopo from next yr wataajiriwa walimu wa science tu tena wenye ufaulu utakaoridhisha