Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,267
- 29,917
umefikiria kuhusu jero la kila mwanafunzi atakalopata mwalimu mkuu?Kwaiyo mama hapa ndio mwiz zaidi maana kapiga buku tatu peke yake loh. [emoji23][emoji23]
Tuna Pigwa Sana Vizinga sisi jamanMama mtu ni kibokoo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tena kasindikizia na neno mpenzii
Usijali mkuu hiyo ni ya vikobaa[emoji23]Tuna Pigwa Sana Vizinga sisi jaman
Baba nae ataenda kuomba kwa bosi wake atamwambia mwanangu kafukuzwa shule kwa mchango wa sh.50000/:hauwezi kuisha na baba angepata nafasi ya kuomba mahali angeongeza yae pia
ha hahahahaBaba nae ataenda kuomba kwa bosi wake atamwambia mwanangu kafukuzwa shule kwa mchango wa sh.50000/:
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Usijali mkuu hiyo ni ya vikobaa[emoji23]
Vp Miss Chagga Kwema mama Anguhauwezi kuisha na baba angepata nafasi ya kuomba mahali angeongeza yae pia
ha HA HAHA HA HA HAKatika zoezi la kupiga picha za vitambulisho vya shule, mpiga picha alimwambia mwalimu mkuu kwamba picha moja ni 500 kwa kila mwanafunzi..
Mwalim mkuu akawaambia walimu wa darasa kuwa wawaambie wanafunzi walete 1000 kila mmoja wao kwa ajili ya picha..
walimu wa madarasa wakawatangazia wanafunzi kuwa kila mmoja alete 1500 kwa ajili ya picha.. watoto wakasema kwa mama zao wao kuwa kuna kupiga picha na gharama ni 2000.
Mama sasa kwa baba wa familia.. " Baby hizi shule za siku hizi kwa kupenda pesa.. kuna mchango wa picha 5000 mpenzi wangu mtolee mwanao apate kitambulisho.."
Asa namna hii wizi utaisha Tanzania ?
Haha....si mnasemaga mmeumbwa mateso kuhangaika[emoji85][emoji85][emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Muwe mnatuonea Huruma
Hata **** muwe na HurumaHaha....si mnasemaga mmeumbwa mateso kuhangaika[emoji85][emoji85]
Rahabu upo....??Hahahhahaa
Hahaha sasa unataka upewe kila sikuHata **** muwe na Huruma
Zen 9t Unalala Mzungu wa Nne nikjkuomba Et umechoka
Aaaaaaaarrrrrrrrrgggggggg
Hata Iyo siku moja moja Kwa shingo upandeHahaha sasa unataka upewe kila siku
Dah... Kumbe baba ndiyo mpiga picha mwenyewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hauwezi kuisha na baba angepata nafasi ya kuomba mahali angeongeza yae pia