Selemani Sele
JF-Expert Member
- Feb 25, 2023
- 319
- 711
Mimi ni mdau na mwananchi nayepanda usafiri wa Udart.
Mwezi huu wa June nimeshuhudia wezi wanne kukamatwa na watu zaidi ya 30 kulalamika kuibiwa simu na pesa wakati wa kugombania mwendokasi hasa hasa vituo vya kivukoni na Gerezani na Manzese ambapo nimeshuhudia watu wakikamatwa katika vituo hivyo vitatu.
Je, ni nini kifanyike kutokomeza wizi kwenye mwendokasi?