Selemani Sele
JF-Expert Member
- Feb 25, 2023
- 319
- 711
Wakati wa kugombania watu wanasearch mapochi na mifukoKwani wanakaaje kwenye UDART au ni msongamano tu usioeleweka .
Pale hulindi kuna mtu kashawahi ibiwa mshaharaAbiria Linda mzigo wako.
Wachome i moto tuu hao weziMimi ni mdau na mwananchi nayepanda usafiri wa Udart.
Mwezi huu wa June nimeshuhudia wezi wanne kukamatwa na watu zaidi ya 30 kulalamika kuibiwa simu na pesa wakati wa kugombania mwendokasi hasa hasa vituo vya kivukoni na Gerezani na Manzese ambapo nimeshuhudia watu wakikamatwa katika vituo hivyo vitatu.
Je, ni nini kifanyike kutokomeza wizi kwenye mwendokasi?
Wanapelekwa kimara asubuhi wameachiwaWachome i moto tuu hao wezi
Pili kuwekwe utaratibu wakulanda hizo basi hamna kugombania....yaani ata hapo kenya tuu wamestaarabuka kuliko sisi
Mwendokasi ishakuwa kitega uchumi kwa weziDawa ni DART kuongeza mabasi ya kutosha ili kuondoa msomangano wa watu!