Wizi mkubwa £380m Coincheck cryptocurrency

Wizi mkubwa £380m Coincheck cryptocurrency

chuma cha reli

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2012
Posts
2,764
Reaction score
2,559
Hackers wameshafanya yao huko japani katika duka kubwa(largest digital exchange) la coincheck na kuondoka na kiasi cha pound 380 millions

Coincheck wamefunga na kuzuia withdrawal na deposit aina yoyote ya cryptocurrency kwa sasa mpaka watakapo toa taarifa, wanaangalia uwezekano wa kurudisha hizo fedha sababu wanadai wanajua location ya hacker na pesa zilipo ingawa sasa hivi zipo offline

Mmoja wa wafanyakazi waandamizi wa Coincheck amenyetisha kwamba uwezekano wa kuzirudisha ni mgumu na hauwezekani

Mimi niliwaambia ila acha tuone picha bado linaendele

Source:naangalia Bbc world news
 
Hakuna mtu anajua risk kwenye biashara kama mimi..ila kwenye hili la crypto....nimegoma..let them deal with it..
 
loh! majamaa sahivi yala mchuzi wa mlenda huku yakihanikizwa na kiyoyozi maridadi kilichoandikwa made in china!..
 
Mwaka jana huko huko Japan kuna kampuni nyingine ilotumia Youbit currency ilipigwa na wajanja dollar million 73 ikabidi jamaa wafunge kampuni!.
 
Mwaka jana huko huko Japan kuna kampuni nyingine ilotumia Youbit currency ilipigwa na wajanja dollar million 73 ikabidi jamaa wafunge kampuni!.
Hiyo nayo nimeiona mkuu
 
Nilikuwa na hamu ya kununua bitcoin ila kikwazo ikawa haina regulator, vipi kama wanaohisiwa ni akina Satoshi Nakamura wakizishusha itakuwa vipi? nkaachana na hayo mawazo ila sasa hivi ni mwaka wa pili unaenda wa tatu inazidi kupanda tu haishuki
 
Crypto currency ni kurisk...only for risk taker. Karibu www.rainbowcurrency
 
Mwaka jana huko huko Japan kuna kampuni nyingine ilotumia Youbit currency ilipigwa na wajanja dollar million 73 ikabidi jamaa wafunge kampuni!.
aisee wananifnya namimi nitamani kuwa mkali wa hayo mambo nakwenda kuchukua corse ya IT sitaki ujinga aiseeee
 
aisee wananifnya namimi nitamani kuwa mkali wa hayo mambo nakwenda kuchukua corse ya IT sitaki ujinga aiseeee
Inabidi ujifunze kufuta digital footprint ukidakwa umeiba bit currency ni tofauti na kudakwa umeipiga bank!!..
 
Back
Top Bottom