chuma cha reli
JF-Expert Member
- Jul 2, 2012
- 2,764
- 2,559
Hakuna English ya "Hackers Runs..."Hackers runs the world
i like that
I wont write structure english though it happens sometimeHakuna English ya "Hackers Runs..."
Unajua risk vipi mkuu?Hakuna mtu anajua risk kwenye biashara kama mimi..ila kwenye hili la crypto....nimegoma..let them deal with it..
Hiyo nayo nimeiona mkuuMwaka jana huko huko Japan kuna kampuni nyingine ilotumia Youbit currency ilipigwa na wajanja dollar million 73 ikabidi jamaa wafunge kampuni!.
Crypto currency ni kurisk...only for risk taker. Karibu www.rainbowcurrencyNilikuwa na hamu ya kununua bitcoin ila kikwazo ikawa haina regulator, vipi kama wanaohisiwa ni akina Satoshi Nakamura wakizishusha itakuwa vipi? nkaachana na hayo mawazo ila sasa hivi ni mwaka wa pili unaenda wa tatu inazidi kupanda tu haishuki
pambana na hali yako mimi ni Fxtrader asiyejihusisha na cryptocurrencyCrypto currency ni kurisk...only for risk taker. Karibu www.rainbowcurrency
If so, then why not use your mother tongue instead..?I wont write structure english though it happens sometime
I only concetrate on what i want to deliver
And hope you get it!!
aisee wananifnya namimi nitamani kuwa mkali wa hayo mambo nakwenda kuchukua corse ya IT sitaki ujinga aiseeeeMwaka jana huko huko Japan kuna kampuni nyingine ilotumia Youbit currency ilipigwa na wajanja dollar million 73 ikabidi jamaa wafunge kampuni!.
Inabidi ujifunze kufuta digital footprint ukidakwa umeiba bit currency ni tofauti na kudakwa umeipiga bank!!..aisee wananifnya namimi nitamani kuwa mkali wa hayo mambo nakwenda kuchukua corse ya IT sitaki ujinga aiseeee