Wizi mtupu kampala international university

Wizi mtupu kampala international university

The MORNING

Member
Joined
Oct 19, 2013
Posts
9
Reaction score
0
Serikali yetu imeona kuna umuhimu wa kuwasaidia wanafunzi wa vyuo vikuu kwa kuwapa mkopo ili waweze kujikimu kwa muda wote wa masomo, cha ajabu hawa waganda wao hilo hawalioni wanachojali ni kuhakikisha wanatumia mikopo ya wanafunzi effectively ili kupata faida! Boom la mwezi 10 wao hutoa mwez wa 12, la mwezi wa 12 bado sijajua watatoa lini! Cha ajabu loans board tayari ishaweka ela zetu kwenye account yao, sasa sisi hohehahe tutaishije jamani??? Loans Board wawe wanatuwekea hela zetu kwenye account zetu, kwani lazima zipitie kwenye account ya chuo???
HATE Kampala International University!!
 
Maelezo yako hayaonyeshi kama wewe ni mwanafunzi wa chuo kikuu. Wakati unaandika maelezo ulikuwa unafukuzwa? Maelezo haya yakalingana kabisa na mwanafunzi wa kidato cha nne. Moja ni kwamba kama hilo unalosema boom la mwezi wa 10 wao wametoa mwezi wa 12 sasa wizi uko wapi hapo. Huo ni ucheleweshaji.
 
Sawa nimekuelewa! Ila kuna fununu kwamba huwa wanaziacha hela bank kwa muda mrefu ili wazidi ku _accimulate faida jmn!
 
Sawa nimekuelewa! Ila kuna fununu kwamba huwa wanaziacha hela bank kwa muda mrefu ili wazidi ku _accumulate faida jmn!
 
Bora hao waganda kidogo wanahuruma. st joseph ndo komesha.hata kukusomesha course fake hawaoni tabu.hapo kwenye boom ndo inakera zaidi. Ila ya kwao ikichelewa hufanyi mtihan.
 
Back
Top Bottom