Inawezekana ikawa ni just a part of work (making a movie), lakini nalazimika kuamini kuwa as a normal and real man kitu kina uwezekano mkubwa wa kufuatia hapa. Tukumbuke ni nini maadili yetu kama watanzania endapo hatutajiita kama waafrika, ndivyo mila zetu zinasema? tusishabikie uzungu wakati wao wanakesha wakijipongeza kwa kuweza kutuharibia maadili yetu na kuingiza vitu vyao chungu nzima, we must feel shame on this. Jiulize, ni vitu vingapi wao wameiga kutoka kwetu, halafu nenda upande wa pili kisha angalia kwetu ni vingapi tumeiga kutoka kwao??
Naona aibu