Wizi unaoendelea Vodacom na Zain

Kaa la Moto

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2008
Posts
7,904
Reaction score
1,064
Wadau nimekutana na malalamiko haya toka kwa mdau mmoja. Ebu yafuatilie na uone ukweli wake na malalamiko yapelekwe TCRA. Tusikubali kuendelea kuibiwa.

 
Nothing is free but the air to breath....but one day we will be taxed for it for sure
 
'Vigezo na Masharti Kuzingatiwa'!
 
Sasa fund tha kampeni mnataka zitoke wapi?

SLAA 2010!!!
 
Wadau nimekutana na malalamiko haya toka kwa mdau mmoja. Ebu yafuatilie na uone ukweli wake na malalamiko yapelekwe TCRA. Tusikubali kuendelea kuibiwa.

I've been experiencing the same problem.
Kuna uwizi wa wazi unafanyika hapa, hadi mara ya mwisho nikajisemea kuwa labda kwa vile ni usiku ndo maana wanaiba hawa!
Na hivyo vigezo na Masharti ni vitu gani?
 
Yap, kwa sababu Watanzania mmezidi tukitangaza ofa tu mpaka mitandao inajam, sasa tumeamua kuwaibia kirahisi zaidi.

Msemaji wa Zain na Vodacom.
 
Naona Zain sasa kila ukipiga simu ukikata tu inakuletea msg kwamba umetumiamuda gani na thamani yake plus VAT kiasi gani na salio lako ni kiasi gani. Wenzangu na nyinyi mnakutana na same msg?

Wameogopa baada ya kusoma hapa JF?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…