A
Anonymous
Guest
Kama kichwa kinavyoeleza hapo tunabambikiwa sana parking siku hizi naomba utupazie hili nina uhakika wahudumu wa huduma za parking WAMEKUWA wakibahatisha namba za gari na kuandika bili za parking ovyo ovyo
Mfano mwezi uliosha nilikuwa Mwanza na gari nilipaki ilikuwa haitembeii lakini cha kushangaza nimekuta nimeandikiwa parking mara 3 moja ikiwa ni Tsh. 2500, nyingine 1,000 nyingine 1,000.
Sasa hili ni tatizo nadhani mamlaka ijulishwe hii na utafutwe mfumo mzuri wa parking ikiwezekana mtu awe ananunua package then aki-park sehemu kuwe na watu wa ku scan number then wapunguze kwenye package aliyonunua, ila tofauti na hapa mfumo uliokuwepo ni wizi mtupu.