pumzihaiuzwi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2015
- 3,273
- 3,083
Anafunga mwaka kivingine[emoji23]Leo umetupa kitu kizuri... kule jukwaa pendwa huwa unatupiga fix sana
Mkuu kama ulikuwa hujijui una uandishi mzuri sana,unajua kupangilia mikasa yako kumvutia msomaji,una utajiri ila umeukalia angalia usizame shimoniCraig alikutwa na kosa la ku kidnap mkumbuke yule dada mhudumu. So hilo ni kosa la peke yake pia.