fundinaizer
JF-Expert Member
- Dec 15, 2016
- 1,758
- 2,713
Hatari mkuu [emoji38][emoji38] wasurubiweHahaha..Vodacom na wao wapewe za mbavu sio??
Ndio mkuu nimeona juzi wamepost pale jf insta.Wakuu huu uzi ndo uliompa kesi Melo dhidi ya CRDB??
kwa Hiyo Crdb wanakata 4000 kwa mwezi..Huyu jamaa hata kama atakuwa na lake jambo, ukweli unabaki palepale kwamba Kumkata mteja sh 700 anapotoa hela kwenye atm, na sh 200 kila anapouliza salio ni unyonyaji. CRDB iwekeze hela za wateja ili ipate faida lakini sio kumkata mteja hata kwenye transaction za kawaida za kila siku. Ukitoa hela kwenye atm mara 10 kwa wiki au mwezi ujue umeliwa 7000. ukiangalia salio mara 10 tayari 2000 imekwenda. hapohapo kila mwezi kuna fee gani sijui sh 4000. Huu ni unyonyaji.
Benk ya Barclays, kutoa hela na kuangalio salio kwenye atm ni bure haijalishi umefanya mara ngapi. na mwisho wa mwezi unakatwa 2000 tu.
Nilikuwa na account NBC,Barclays,exim,lakini bado CRDB ni bank nzuri.
Hivi we unajua makato ya Barclays au unaongea tu[/QUO
, kuna moja wanakata 12,000 per month for current account na karibu 6000 account za kawaida.......crdb wanajitahidi ,ila hawajafikia viwango vya juu....
Nilitoa maada kuhusu Wizi wa CRDB na nimesoma reactions za wana JF. Nimepata furaha sana kwa sababu nimegundua wachangiaji wana mawazo tofauti sana. Wengine ni kejeli na wengine wanaona kama wana pesa nyingi kwahiyo hiyo shs. 700/= kwa kila withdraw sio issue. Lakini niseme kwamba mitandao kama hii ya JF ni kusaidia jamii kwa mambo mengi sana mojawapo ni kuelimisha au kukemea.
Sasa baada yaku-sample maoni ya wachangiaji, ninaleta hii hoja upya kama Wizi wa CRDB Part II.
Itabidi nirudi darasani nianze kufundisha upya tena kwa sababu ninaona watu wengine hata hawajui maana ya kusema CRDB ni wezi. Bank inakusanya deposits kutoka kwa wateja ili ifanye biashara na kufanya biashara sio kutoza charges ambazo hazina maana yo yote.
Ledger fee is okay, lakini sio kila withdraw unakatwa pesa. CRDB imeshindwa hata kuvuka mipaka na kwenda kufanya biashara inakalia kuwanyonya maskini wa kitanzania. Eti CRDB ina tawi nchini Burundi, kila mtu anajua uchumi wa Burundi is very poor, wananchi wake is very poor, huko kwa maskini ndiko CRDB inafungua matawi. Mbona wasiende Kenya, Uganda, Rwanda au hata Kusini mwa Afrika? Jibu ni moja, hawajui biashara za ki-bank, wao wamekalia kukata watu fedha za wizi.
Halafu mwisho wa mwaka wanasema wamepata faida ya billions of money, from what businesses? Kwahiyo hata nyie watetezi wa CRDB ni vizuri mjue kuwa CRDB hawafanyi biashara ya ki-bank, biashara ya ki-bank sio kuishi kwa kukata depositors so many charges, biashara ya ki-bank ni kuchukua deposits kutoka kwa wateja then unatoa mikopo, which in turn will give you interests ambayo sasa ni income yako.
Ndugu watanzania wakati ni sasa, hebu tuamke tuseme unyonyaji sasa basi. Hapa tunazungumzia CRDB lakini ninajua Mabank yote mchezo ni huu huu. Huko Kenya, ukiwa na tabia ya akina CRDB wateja wanaondoka. Hebu angalia bank za Kenya zilivyosambaa Tanzania utafikiri ni kama m-pesa, huoni KCB, Equity, CBA, NIC, nyingi tu. Nenda Kenya huoni bank yo yote ya ki-bongo. Hapa wa-TZ tutasema wakenya ni wabaguzi, sio kweli kabisa, ukweli ni kuwa bank za ki-bongo hazijui biashara za ki-bank full stop. Tuache kulia kulia kama watoto wa fisi, miaka 50 ya uhuru kilio ni kile kile.
Hao wanaosema, eti kama unaona CRDB inaiba hamisha pesa yako, wana mawazo mgando. Kwani ukiwa na mke au mume mwenye tabia inayoenda kinyume unamuacha? Basi utaoa au kuolewa kila siku. Let us fight from within. CRDB is a public bank, hakuna wa kuondoka ila tutamulika sera zao za wizi na uvivu wa kufikiri. Nao Kimei ame-overstay and he must leave. He has out-lived his ideas. Hana jipya, aondoke. Kimei Must Go. Kimei Must Go. Kimei Must Go. Kimei Must Go. Kimei Must Go.
Haiwezekani, CRDB wanasema kila mwaka wanapata faida in billions of money kumbe ni kuwakata wateja wao charges tena za kutoa pesa kwenye ATMs. Wezi wakubwa hawa.
Natoa Hoja!
Mkuu mtoa mada umeongea jambo la msingi sana. Hizi benki za kitanzania ni nani aliyeziroga? Makato haya ya kipuuzi hufanywa pia na benki zingine kama NMB, NBC, Mkombozi, nk. Haikubaliki hata kidogo kukalia fedha za wateja na kuzitumia kuwakopesha wateja kwa interest ya kutupwa, halafu wateja haohao wanaowaletea fedha mnawakata makato ya kiqumer kama haya. Huu ni uvivu wa kufikiri kibiashara.Nilitoa maada kuhusu Wizi wa CRDB na nimesoma reactions za wana JF. Nimepata furaha sana kwa sababu nimegundua wachangiaji wana mawazo tofauti sana. Wengine ni kejeli na wengine wanaona kama wana pesa nyingi kwahiyo hiyo shs. 700/= kwa kila withdraw sio issue. Lakini niseme kwamba mitandao kama hii ya JF ni kusaidia jamii kwa mambo mengi sana mojawapo ni kuelimisha au kukemea.
Sasa baada yaku-sample maoni ya wachangiaji, ninaleta hii hoja upya kama Wizi wa CRDB Part II.
Itabidi nirudi darasani nianze kufundisha upya tena kwa sababu ninaona watu wengine hata hawajui maana ya kusema CRDB ni wezi. Bank inakusanya deposits kutoka kwa wateja ili ifanye biashara na kufanya biashara sio kutoza charges ambazo hazina maana yo yote.
Ledger fee is okay, lakini sio kila withdraw unakatwa pesa. CRDB imeshindwa hata kuvuka mipaka na kwenda kufanya biashara inakalia kuwanyonya maskini wa kitanzania. Eti CRDB ina tawi nchini Burundi, kila mtu anajua uchumi wa Burundi is very poor, wananchi wake is very poor, huko kwa maskini ndiko CRDB inafungua matawi. Mbona wasiende Kenya, Uganda, Rwanda au hata Kusini mwa Afrika? Jibu ni moja, hawajui biashara za ki-bank, wao wamekalia kukata watu fedha za wizi.
Halafu mwisho wa mwaka wanasema wamepata faida ya billions of money, from what businesses? Kwahiyo hata nyie watetezi wa CRDB ni vizuri mjue kuwa CRDB hawafanyi biashara ya ki-bank, biashara ya ki-bank sio kuishi kwa kukata depositors so many charges, biashara ya ki-bank ni kuchukua deposits kutoka kwa wateja then unatoa mikopo, which in turn will give you interests ambayo sasa ni income yako.
Ndugu watanzania wakati ni sasa, hebu tuamke tuseme unyonyaji sasa basi. Hapa tunazungumzia CRDB lakini ninajua Mabank yote mchezo ni huu huu. Huko Kenya, ukiwa na tabia ya akina CRDB wateja wanaondoka. Hebu angalia bank za Kenya zilivyosambaa Tanzania utafikiri ni kama m-pesa, huoni KCB, Equity, CBA, NIC, nyingi tu. Nenda Kenya huoni bank yo yote ya ki-bongo. Hapa wa-TZ tutasema wakenya ni wabaguzi, sio kweli kabisa, ukweli ni kuwa bank za ki-bongo hazijui biashara za ki-bank full stop. Tuache kulia kulia kama watoto wa fisi, miaka 50 ya uhuru kilio ni kile kile.
Hao wanaosema, eti kama unaona CRDB inaiba hamisha pesa yako, wana mawazo mgando. Kwani ukiwa na mke au mume mwenye tabia inayoenda kinyume unamuacha? Basi utaoa au kuolewa kila siku. Let us fight from within. CRDB is a public bank, hakuna wa kuondoka ila tutamulika sera zao za wizi na uvivu wa kufikiri. Nao Kimei ame-overstay and he must leave. He has out-lived his ideas. Hana jipya, aondoke. Kimei Must Go. Kimei Must Go. Kimei Must Go. Kimei Must Go. Kimei Must Go.
Haiwezekani, CRDB wanasema kila mwaka wanapata faida in billions of money kumbe ni kuwakata wateja wao charges tena za kutoa pesa kwenye ATMs. Wezi wakubwa hawa.
Natoa Hoja!
Ni kweli kabisa ila utakuta baadhi ya misukule ambao hata sio wateja wa CRDB wanakuja hapa kubinua mknd yao wakiwatetea hawa wezi. Shame upon them!CRDB NI WEZI KWA MWEZI MTEJA ANAKATWA ZAIDI YA 30000 HUO NI WIZI ULIOKUBUHU