Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza kumjua nani ameshinda na nani ameshindwa katika picha hii ??
![]()
wAZANZIBAR NDO WAMESHINDA by SEIFUnaweza kumjua nani ameshinda na nani ameshindwa katika picha hii ??
![]()
They are all losers!
Na karibu watu wengi wameitafasiri hii picha kuwa inaonekena Shein anaona aibu kwa yaliyotokea na hawezi kabisa kabisa kumface Seif ,haijulikani itakuwaje katika mawasiliano yao ,wengine wanasema Shein amemwomba samahani Seif private ,na kumwambia Ikulu ni yake.Hahahaha huyo shein anajinamia anaona haya
Mchungaji hakuna hata post moja ukaweka nisicheke.
W Zenj ndio wameshindwa na Wa Tanganyika.wAZANZIBAR NDO WAMESHINDA by SEIF