Utafungwa bureNianzie wapi?
Mkuu. Nikushauri ukae kimya. Achana na hizo mambo. Shukru Mungu ulipata dawa za mwanao. Mambo ya sheria kwa upande Wangu hapo nimeona itakula kwako bure. Huna ushahidi. Kesi inakugeuka hiyo na unamlipa pesa chafu mhusika. Mambo kama hayo yanahitaji mtego siyo wa kitotoNifungwe kwa lipi
Kila mtu anatakiwa awe mwadilifu kulingana na sehemu husika anayofanyia kazi,maovu hayahalalishwi na maovu.Tukienda unavyotaka wewe hali itakua tete.mkuu kasema fanyeni kazi hafuatilii umbea wa mitandaoni na huu ndio umbea wenyewe hebu fanya yako bna kuna wengine wametapeli magari with vivid information watu wanapeta sembuse huyo hebu kafanye kazi acha umbea
Uaminifu unatakiwa uanze kuanzia kwa mtu wa chini hadi juu,hebu fikiri houseboy/girl asiwe mwaminifu,mwalimu asiwe mwaminifu,msahihishaji wa mitihani ya taifa asiwe mwaminifu n.k hii itatupelekea kua na jamii ya hovyo isiyokua na maadili.Kuacha watu wasiwe waaminifu kuanzia kwenye ngazi ndogo ndiko kunakoacha tunakua na afya mbovu,miundombinu mibovu,watoto wa nje n.k.Wacha umbea na majungu ya mitandaoni. Mwache nesi apige kazi. Huyo sio mtumishi asiye mwaminifu, ni KATUMISHI KASIKO KAAMINIFU
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwenzako huyo hapo kapeleka mashitaka katumbuliwa yeye...we umeshanunua dawa meza upone uendelee kutafuta kodi ya watu viwanda vijengwe
Acha ku-attack personalities, discuss mada.After all uovu wowote unaoutetea haukibaliki,wewe unaona kama ni inshu ndogo,kuna wazazi wanajifungua kikatili sana kwenye zahanati mbalimbali kwasababu yakukosa huduma stahiki pale wanapohitaji,huna justification yoyote ya kilichofanyika,mhudumu huyo wa afya inabidi ashughulikiwe,imagine asingekua na pesa,ingekuaje,think big.My friend, signature yako inasemaje?
If that is so, kuna determination ya kuondoa watumishi wasio waaminifu au kuondoa watumishi waaminifu?
ukimshitaki utapata faida gani? watu wamejichokea wacha wafaidi hata hicho kidogo.Juzi nimepeleka mgonjwa wangu hospital nilifika kwa Dr. Nikamweleza kinachomsumbua mgonjwa nikaandikiwa dawa kwenda dirishani dawa hakuna. Miongoni mwao kuna muuguzi anaduka la dawa akaniambia hizo dawa ninazo njoo nyumbani badae nilivyoenda kweli dawa nilipata ila niliuziwa dawa zenye nembo ya bohari kuu ya dawa MSD si Mara ya kwanza siku ya kwanza aliniuzia ORS ikiwa na MSD.
NAOMBA USHAURI WENU KAMA NIKUMPELEKA KWA UMMY MWALIMU OR KWA SIZONJE
Unakufa na dawa ZA serikali zipo nyumbani kwao ila wanasema hawana dawaAcha ku-attack personalities, discuss mada.After all uovu wowote unaoutetea haukibaliki,wewe unaona kama ni inshu ndogo,kuna wazazi wanajifungua kikatili sana kwenye zahanati mbalimbali kwasababu yakukosa huduma stahiki pale wanapohitaji,huna justification yoyote ya kilichofanyika,mhudumu huyo wa afya inabidi ashughulikiwe,imagine asingekua na pesa,ingekuaje,think big.
Ndio utaiona haja ya usawa juu ya sheria. Huwezi kuwaambia wa chini wanyooshe njia huku wa juu wanapinda. Hadithi za namna hii hazina mashiko. Maigizo ya nini? Kuua muuza kuku huku mwizi wa mabilioni tunamchekea?Acha ku-attack personalities, discuss mada.After all uovu wowote unaoutetea haukibaliki,wewe unaona kama ni inshu ndogo,kuna wazazi wanajifungua kikatili sana kwenye zahanati mbalimbali kwasababu yakukosa huduma stahiki pale wanapohitaji,huna justification yoyote ya kilichofanyika,mhudumu huyo wa afya inabidi ashughulikiwe,imagine asingekua na pesa,ingekuaje,think big.
hali iwe tete mara ngapi?Kila mtu anatakiwa awe mwadilifu kulingana na sehemu husika anayofanyia kazi,maovu hayahalalishwi na maovu.Tukienda unavyotaka wewe hali itakua tete.
Mbaya zaidi mgonjwa amekatwa kodi ambayo imenunua dawa zinazofichwa majumbani mwa wauguzi/waganga/madaktari,halafu anazinunua tena hizo dawa,huu ni ujinga,ukimwacha huyo mhudumu wa afya itafika kipindi atapanda ngazi hadi aje awe na kitengo kikubwa na mwisho wa siku mwanao au ndugu yako amepungukiwa damu unaambiwa leta hela,huna nduguyo anapoteza maisha,mi sikubaliani kabisa nahuo ujinga.Unakufa na dawa ZA serikali zipo nyumbani kwao ila wanasema hawana dawa
Wewe ni mgeni hapa Tanzania au sujajua levo yako yaufuatiliaji wa mambo hapa nchini,unamkumbuka yule mkurugenzi wa Mkinga huko Tanga alifanywa nini baada yakuvunja sheria za barabarani na akatishia kuua kwa bastola,unamkumbuka mtu anaitwa Masamaki,unamkumbuka mtu anaitwa Wilson Kabwe,tena baadhi niliokutajia ni tuhuma tu zimewaondoa kwenye nyadhifa zao leo unakuja unataka kuhalalisha wizi wa dawa kwarejea za hovyo,mimi siungi mkono uovu wa namna yoyote ule hasa ambao unaweza kuhatarisha maisha yangu na ya jamii kwaujumla,zile dawa tunalipia kodi,mshahara na marupurupu anayoyapata huyo mhudumu ni kodi zetu halafu unaongea kitoto hapa,acha ujinga.Ndio utaiona haja ya usawa juu ya sheria. Huwezi kuwaambia wa chini wanyooshe njia huku wa juu wanapinda. Hadithi za namna hii hazina mashiko. Maigizo ya nini? Kuua muuza kuku huku mwizi wa mabilioni tunamchekea?
Kama unaona hali nitete anza kurekebisha ulipo wewe,yaani kusnzia kwenye ngazi ya familia yako hadi tufike kwenye taifa,acha kukata tamaa.Kama wewe binafsi unakata tamaa sijui hata familia yako ikoje,yawezekana hata wanafamiloa yako ni wadokozi,wezi,wazinzi wa hovyohovyo na mengine mengi.USIKATE tamaa,pigana popote ulipo.hali iwe tete mara ngapi?
una risiti ya EFD usije geukwa huko mbele