A
Anonymous
Guest
Kumekuwa na zoezi la kuzuia wanafunzi kufanya mitihani ilhali wamemaliza ada huku wakidai yakuwa mitihani hiyo inabidi ilipiwe fedha ambayo haijaorodheshwa kwenye fomu na si halali kwani, matumizi ya fedha hiyo ni sawa na Yale yaliyo kwenye ada.