KERO Wizi wa fedha za wanafunzi kupitia ada chuoni Tanzanian Training Centre for International Health (TTCIH), Ifakara - Morogoro

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Kumekuwa na zoezi la kuzuia wanafunzi kufanya mitihani ilhali wamemaliza ada huku wakidai yakuwa mitihani hiyo inabidi ilipiwe fedha ambayo haijaorodheshwa kwenye fomu na si halali kwani, matumizi ya fedha hiyo ni sawa na Yale yaliyo kwenye ada.


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…