Ndumbayeye
JF-Expert Member
- Jan 31, 2009
- 7,413
- 4,020
hivi wanamuziki waliozoeleka wa bongo fleva wanaopitapita kwa wanamuziki wenzao wadogo (underground) na kuwaibia tungo zao ili wajipatie sifa za bandia si ndo ufisadi katika muziki huo? malalamiko yamekuwa mengi, labda kelele zikiongezeka hii copy and paste itapungua. wale walioibiwa kama wamo humu jf wajitokeze watoe ushuhuda!