Nepheriandick
Member
- Apr 14, 2020
- 14
- 27
.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna siku nilienda Hadi bank flani kwa lengo la kufikisha hili nilikaa kwenye kiti niliwaza Sana kuingia kwa meneja badae nikahairisha kwa kuhofia usalama , nikaishia kuuliza jinsi ya kufungua account then nikaondoka zanguuMwaga unga mkuu, ila iwe kwa tahadhari maana Maxence Melo ana kifungo cha nje cha mwaka mmoja ili asije akaingie matatani tena
Na wasiwasi wangu mkubwa ndio huo , unaweka kila kitu hadharani lakin unashangaa jamaa wanakusubiri nje na KitengaMkuu kwanza kabisa nakupongeza sababu kuna utaalamu ulionao maana utasaidia system husika kuboreshwa zaidi....
Kuna siku nilienda Hadi bank flani kwa lengo la kufikisha hili nilikaa kwenye kiti niliwaza Sana kuingia kwa meneja badae nikahairisha kwa kuhofia usalama , nikaishia kuuliza jinsi ya kufungua account then nikaondoka zangu
Na wasiwasi wangu mkubwa ndio huo , unaweka kila kitu hadharani lakin unashangaa jamaa wanakusubiri nje na Kitenga
Shukrani kiongozi hiyo naona ndio imekaa vizuri,Na hicho ndicho kingetokea.
Usiseme wizi waambie mods waandike uzi vizuri.
Hata ungesema "una utaalamu wa kuboresha mifumo ya ki-bank kuzuia watu kuiba fedha kwenye miamala ya ki-bank."
Ma-bank ambayo yapo tayari makubaliano mfanye biashara na kuwaboreshea.
Na imani hapo ingekaa sawa ili wasiseme wewe ni muharifu.
Ila usijaribu kwenda moja kwa moja watakupoteza tu boss wangu.
Hivi kwa mfano mkuu mimi nikizingua Gov alafu niwe nasakwa Melo atatoa taarifa zangu kwa namna gan????....kwani ananijua???..au atatoa email yangu ili manjagu waanze kunisakua...nijuzeNachofahamu tu kesi aliyohukumiwa Maxence Melo kifungo cha nje inamuhusu member wa JF aliyetoa tips za wizi unafanywa CRDB matokeo yake polisi wakawa wanamsaka muhabarishaji huyo wa JF na ndiyo wakampeleka Maxence Mahakamani kwakuwa alishindwa kutoa taarifa za member huyo.
Max yeye amesema hana taarifa za member yoyote humu, ila wakulungwa wao watataka awape Ip address yako, majina yako na email adress uliyotumia kujisajili hapa JF.Hivi kwa mfano mkuu mimi nikizingua Gov alafu niwe nasakwa Melo atatoa taarifa zangu kwa namna gan????....kwani ananijua???..au atatoa email yangu ili manjagu waanze kunisakua...nijuze
Jitahidi ufanye uchunguzi wa namna bora ya kuwasilisha hili jambo bila kuleta athari hasa kwa wewe muibuaji.Kuna siku nilienda Hadi bank flani kwa lengo la kufikisha hili nilikaa kwenye kiti niliwaza Sana kuingia kwa meneja badae nikahairisha kwa kuhofia usalama , nikaishia kuuliza jinsi ya kufungua account then nikaondoka zanguu
ndiyo wakampeleka Maxence Mahakamani kwakuwa alishindwa kutoa taarifa za member huyo.
pia kifungo hicho cha nje kimeambatana na kutofanya kosa lingine(kama hilo waliloliita kosa la awali na mengineyo)Hakushindwa, ila alikataa kwa sababu haikuwa kosa, kimsingi alimlinda mwana JF.
Angekuwa muoga angekuwa kashamuanika kitambo tangu siku alipokamatwa, ila kutokana na kusimamia ukweli, haki na sheria ndio ikawa hivyo hadi akaambulia kifungo cha nje.