Wizi wa kura;ccm yatia aibu kimara-serikali za mitaa

Ngoma draw, huyo dada hajui kuandika, nawe hujui kuandika! Hebu tizama jinsi ulivyoandika hapo juu! Aibu tupu.
 
Ngoma draw, huyo dada hajui kuandika, nawe hujui kuandika! Hebu tizama jinsi ulivyoandika hapo juu! Aibu tupu.

Aibu tupu ni yako wewe usiyejua kuna tofauti za kanuni katika kuandika official document vis-à-vis email/blogs/sms/forums....
 
Ulitaka niandike kama barua ya kuomba uchumba ccm......???
 
Aibu tupu ni yako wewe usiyejua kuna tofauti za kanuni katika kuandika official document vis-à-vis email/blogs/sms/forums....
Wacha ushamba, hebu nipe kanuni alizotiumia! Then mnataka nchi, huyo M'kiti wenu tu amekimbia shule....
 
Mkuu shukrani sana kwa kutujuza hili, kilichobaki ni kutandikana viboko ili tuheshimiane, ndo maana saa nyingine watu wanatamani ukoloni urudi ili tujifunze adabu. Sasa hapo wanatufundisha nini viongozi hawa wezi wa kura!
 
Kibunango mambo waliyofanya sisi m yenu karibu kote Tanzania ni aibu tupu!
Watu wazima na akili zao mbovu eti wanatamba kwa ushindi wa asilimia 90 wakati hata kwetu huku walifanya ujinga huo huo! Mimi nilidhani ni kwetu tu kumbe ni karibu Tanziana nzima?
Ila nikupe ukweli ni kwamba kwetu tuliwakomalia sana kiasi walishindwa kila mbinu ilikuwa imeshikwa mkononi mwetu.
Walifikia hatua ya kupoteza hata muda wa kuhesabu kura wakidai mara Mgombea wa sisi m hayupo, na wala hapatikani kwa simu.
Mara likaletwa sanduku la kura ambalo halikuwa linajulikana linatoka kituo gani.
Mara wakataka kuhonga mawakala lakini wakakuta wote ni walokole. Looooooohhh kila njia ikabanwa.
Mara hivi mara vile hadi kura za mwenyekiti zikahesabiwa saa 11 asubuhi. Tayari nilishamshinda huyo mgombea wa sisi m kura 500, akakimbia bila hata kunipa mkono wa hongera.
Bahati ni kwamba wapiga kura walishabaini njama na walikuwa tayari kufa na mtu. Walibeba mawe yao tayari kukabiliana na kila atakayetaka kuchezea kura zao.
Mi ninatoa tahadhari kwa wasimamizi wa uchaguzi kwamba fujo yoyote itakayotokea kwenye uchaguzi mkuu victims wa kwanza watakuwa ni wao maana imethibitika wao ndio wanaochezea kura kwa kutumiwa na hawa maafisa usalama. Next election tutahakikisha hakuna cha kuchezewa kura zetu. Kama wakijaribu hatutajali wewe ni afisa wa serikali au nini! tutaitisha nguvu ya umma ikushughulikie. Hii iko above every thing haijali hata polisi. Nililishuhudia hili na linaweza kutokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…