Wizi wa kura hauna mipaka: Netanyahu aibiwa kura

Jewish wamemchoka Bibi Netanyahu lakini ni ngumu sana kumtoa madarakani (ana backup ya kutosha)
 
Maneno ya mkosaji hajaibiwa kura wala nini.

Netanyahu na LIKUD, mbona ndiyo wanaoongoza kura zote? Hawajakosa chochote. Vyama vya upinzani vimepata wabunge 19 tu! Hata hao 19, kuna malalamiko kuwa hawakupata kura halali.
 
Netanyahu na LIKUD, mbona ndiyo wanaoongoza kura zote? Hawajakosa chochote. Vyama vya upinzani vimepata wabunge 19 tu! Hata hao 19, kuna malalamiko kuwa hawakupata kura halali.
Acha kupotosha opposition ina viti 67 huyo Netanyahu max ni viti 53. Na hiyo Likud yako ina 20% pekee ya kura!!
Povu la Netanyahu kwa sasa ni kuzuia waarabu kuingia upande wa Gadi maana kura zao 19 zinatosha kumpa uwaziri mkuu.

na huu ni mwanzo tu, miaka 10 ijayo waarabu wanaweza kuwa na 30% ya kura na sijui itakuaje kuwapunguza ilihali wanazaliana mara 3 kuliko wayahudi!!

Mkiambiwa two state solution mnakuwa wabishi haya ndio madhara yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…