Elections 2010 Wizi wa Kura Kawe wasababisha maandamno

Kawaida yao hao wanaiba kura wakipata madaraka wanapora raslimali za taifa
 
Hu mfumo mpya wa kura za maoni umeweka wazi jinsi gani wagombea wasafi walikuwa wakimezwa na wizi wa wenye pesa. Na kati ya watu makini CCM iliwapoteza kupitia mfumo batili ni Dk. Slaa. Sasa vijana wenye msimamo wanaibiwa haki yao mchana, kama malamiko kama haya hayatafanyiwa kazi basi nao vijana wataanza kukosa imani na chama chao
 

haya maneno ya kwako ,mpwa ama kuna mtu anakuandikia???sound nyce mpwa
 
Did anyone watch Channel 10 or ITV news last night?

I saw a a couple of Kippi's supporters chanting "..Kippi wetu x 3.." and they vowed to deflect to opposition if Kippi is not nominated for Kawe constituence ...

Well: Kinondoni Party's Sec. Gen. said that they are still tallying the votes and the winner is not yet know as of yesterday! <Funny!>
 
did anyone watch channel 10 or itv news last night?

mkuu gold tumeziona asieamini aamie chadema dt off kuachana na wizi wa kipuuzi ona sasa kura zinatolewa msituni pengine zingine walizificha sehemu za siri tutajuajeloh sisiemm mtakimbia wapi na aibu hii...moto wa yesu utawafata mpaka makaburini mnapozificha
 
kwa kweli haingii akilini, eti kura za maoni za jimbo Kawe, ambalo liko mjini kabisa...complete with roads and elecctricity, zinahesabiwa kwa siku tatu? Hapa kuna jambo!
 
Sasa tusibirie tuone kama kutakuwepo na wisdom zaidi kwenye NEC!
 
CCM WEZI WATUPUUUUUUUUUUUUU, imagine ccm wanakufuata nyumbani kwako wakiwa na pesa 2,000/= na kadi, form, wanakupiga mpaka na picha then wanakupa kadi ya CCM ukapige kura yako kwa huyo mtu aliyekutengenezea kadi ukiwa kitandani kwako. jamani hawa watu ni hawafaiiiiiiiiii kabisaaaaaaaaaa wameoza woteee kabisaa.
CHADEMA viongozi jipangeni vizuriii mkiwa na SLAA ushindi ni wa CHADEMA!!!!! Slaa anahitaji kupewa ulinzi wa hali ya juu sana, asile ovyo ovyo maana hawa MAFYA wanaweza wakamuuwa, angalia wanavyoumizana wenyewe kwa wenyewe washenzi sana CCM.
KUANZISHWA KWA TV YA CHADEMA NI MUHIMU SANA ILI WATU WAPATE ELIMU YA KUTOSHA, watanzania wengi hawajui kinavchoendelea kabisa, jamani viongozi hakuna kulala kampeni ni ipigwe ya hali ya juu sana.
Lazima RAISI WA NCHI YETU AWE SLAA MWAKA HUU..
 
Wamelizana, kisha watamalizana
 
Mwizi ni mwizi tu. CCM wanaibiana hata menyewe kwa menyewe sasa hapo October 31 si ndiyo watafanya wizi/ujambazi wa hali ya juu ili kuhakikisha ushindi. Kigumu cha mafisadi! Kigumu!
 

Mkuu hiyo kali!!naona Mwakalinga bado yupo kwenye state of denial.

Naomba uendelee kumfariji ili aikubali hiyo hali ya kukataliwa mpaka na watu wa Kijijini kwake.

Sio rahisi kuikubali hali hiyo hasa ukiwa umewekeza sana na kusaidia sana watu kwa ajili ya kuupata ubunge ambao mwishowe unakuja kugundua wakati umeishachelewa kuwa hali halisi on ground ni tofauti kabisa na ulivyokuwa unaiona ukiwa mbaaali, kumbe unayeshindana nae anakubalika sana kuliko ulivyokuwa unadhani, kumbe wapambe wako wa karibu walikuwa wanakujaza matumaini ambayo hayapo.

Ninachoweza kusema ni POLE na MAISHA YANAENDELEA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…