J Jafar JF-Expert Member Joined Nov 3, 2006 Posts 1,136 Reaction score 54 Nov 1, 2010 #1 View attachment mpango wizi jimbo la nyamagana.doc Soma mwenyewe ujionee
J Jafar JF-Expert Member Joined Nov 3, 2006 Posts 1,136 Reaction score 54 Nov 1, 2010 Thread starter #2 JK yuko mwanza tena kufanya kikao kingine kama hicho
B batjnr Member Joined Jul 12, 2010 Posts 5 Reaction score 0 Nov 1, 2010 #3 Jafar said: View attachment 16067 Soma mwenyewe ujionee Click to expand... hii kitu inatisha mkuu
J Jafar JF-Expert Member Joined Nov 3, 2006 Posts 1,136 Reaction score 54 Nov 1, 2010 Thread starter #4 batjnr said: hii kitu inatisha mkuu Click to expand... Ndio ujue nchi hii imefika pabaya
J Jmangi New Member Joined Oct 26, 2010 Posts 3 Reaction score 0 Nov 1, 2010 #5 Nakwambia jk mwaka hapati kitu amefulia huyoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
Mwanajamii JF-Expert Member Joined Mar 5, 2008 Posts 7,063 Reaction score 70 Nov 1, 2010 #7 Yawezekana pia ni barua ya kuchonga, tunaomba chanzo cha habari hii ili tuweze kuipima ukweli wake.
Iza JF-Expert Member Joined Jan 8, 2009 Posts 2,045 Reaction score 643 Nov 1, 2010 #8 Ogopa watu wanaotaka uongozi kwa kila namna ...
Nenga Member Joined Sep 3, 2007 Posts 77 Reaction score 21 Nov 1, 2010 #9 Mwambieni aende na Iringa pia Musoma Mjini, Dewji naye Chali Singida mjini
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 59,045 Reaction score 94,974 Nov 1, 2010 #10 Mi naona kwenye simu yangu kila nikifungua new post icon inaniambia disabled....sasa sipati kitu tena hadi nije kwene net, naombeni msaada wenu bandugu
Mi naona kwenye simu yangu kila nikifungua new post icon inaniambia disabled....sasa sipati kitu tena hadi nije kwene net, naombeni msaada wenu bandugu
J Jafar JF-Expert Member Joined Nov 3, 2006 Posts 1,136 Reaction score 54 Nov 1, 2010 Thread starter #11 Mshirazi said: Upupu Click to expand... Duu Mshirazi unaroho ngumu hata ukweli unaukataa