Umeniwahi na hilo swali mkuu. Kwa uzito upi hasa wa hiyo laptop au simu mpaka uiache ndani ya basi?Laptop ina uzito gani wa kubeba?
Sure Kiongozi. Bongo ujinga mwingi.umeniwahi na hilo swali mkuu. Kwa uzito upi hasa wa hiyo laptop au simu mpaka uiache ndani ya basi?
Itakuwa ni ule ubrotherman mtu kakaa na pisi kali anaacha kibegi chake kwenye siti ili aonekane hajali vitu vidogo.
Hapo hakuna wizi ni kwamba umewawekea walimwengu rizki yao. Wizi ni pale unapoporwa.
muda wa jioni, zaidi hutokea kwa mabasi yanayotoka Dodoma. Nimeona sio vizuri kutaja aina ya mabasi hayo. Nini kifanyike kupunguza kero kama hiyo?
Simple, beba toka nazo nje ya basiNini kifanyike kupunguza kero kama hiyo?