Wizi wa Mitandaoni unaongezeka kila kukicha

Morg

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2018
Posts
1,301
Reaction score
1,788
Habarini za leo ndugu zangu najua wote wazima wa afya kabisa
Leo nataka kuwajulisha juu ya hili swala la wizi wa mitandaoni hasa hii mitandao ya kijamii. Twitter, Face book, Instagram, Email. WhatsApp na mingine mingi kumekuwa na wizi wa technology unaindelea huko. Hapa leo nitaelezea kisa kimoja nilichokumbana nacho Mimi ili niwaweke attention na wengine.

Nilikutana na brother mmoja hivi kwenye mtandao wa Facebook alinitumia friend request kama ilivyoada nikaaccept as a friend binafsi napendelea kumee with new people's around the world kushare mambo mengi kama ilivyo priority yangu. Huyu braza alisema yeye anaishi England vizuri na mimi nikamwambia naishi Tanzania ingawa alikuwa hapajui wala Hana idea na Tanzania tuliongea mengi kikubwa alikuwa anatumia mtandao wa WhatsApp hivyo tukabadilishiana namba siku zikasonga tukawa tunachati mara moja moja kama salam vile. One day akaniuliza kuhusu climate conditions ya Tanzania na angependa kuja Tz siku moja kutembea nikamwambia unakaribishwa sana. Binafsi Mimi ni miongoni mwa watu ninaopigia promo nchi yang Tz kuitambulisha nahisi ningepewa ubalozi wa nje kabisa.

Huyu bwana nilimuhoji maswali mengi Sana hasa la yeye mbona kama Ana asili ya India lkn hakunijibu ilivyotakiwa pia anaishi England sehem gani pia alinitatiza hapa siku moja akaniambia anataka kunitumia zawadi kutoka UK nikamwambia ni Jambo jema nikampa anuwani yangu ambayo ndio huwa natuamiga kupokea gift cards kutoka USA, Australia. Aliniambia nichague gifts mm nikamwambia PC laptop na perfume alikubali lkn mm nikiwa na mashaka sikutilia maanani kabsa aliniambia kuwa two days utakuwa umefika Tz aliniambia na contact nimpe ili ukifika mawakala wanipigie. Kweli walinipigia simu siku ilikuwa ni siku ya Jumatatu asubuhi kuwa Kuna mzigo wang kutoka UK nikawaambia ndio wakaniambia mzigo upo office kwao Arusha so mimi natakiwa kulipa clearence forwarding ili wautume to DSM kiasi Cha laki tatu na nusu ndani ya masaa ishirini na manne niwe nishatuma hiyo pesa.

Kumbuka hapo muhusika hajaniambia chochote kuhusu suala la malipo yeye alikuwa ananihimiza tu na namba anayotumia sio ya Tanzania hapa mm nikachekecha akili nikaanza kumtrack huyu bwana toka mwanzoni nilianza kuwa na mashaka nae maana hata mazingira sio ya UK nikaanza kumfuatilia marafiki zake wa FB sio wazungu Ni wahindi na wabongo wachache, kingine nilichogundua hata native languages yake sio ya mwingereza kabisa huwezi amini hata mimi kuna muda nilikuwa nàmshinda ngeli ilinipa mashaka.

Nikamwambia mbona huku wananicharge tena na mzigo mbona umefikia mkoa mwingine tofauti na DSM kama ulivyotuma aliniambia we ongea nae nikampa namba za hawa mawakala wa hapa bongo akaongea nao ndani ya dakika mbili hawa mawakala wananipigia simu kuwa washaongea na mtumaji kuwa malipo ya huku mimi ndio nahusika to sio yeye. Basi nikawambia kuwa uleteni mzigo mpaka DSM then mimi nikishaona mzigo ndio nalipa hiyo pesa wakagoma.

Mimi Kama mastermind nikawambia bhac Kama ni hivyo ngoja nitume mtu hapo ofisini kwenu aje akague mzigo then awalipe hiyo pesa na hapa wakagoma nikachekecha akili nikawambia nipe jina la kampuni yenu na mahali inapopatikana huko Arusha wakanitajia jina nilisolielewa nikalitrack Google halipo nikawapigia mbona kampuni yenu inaonekana haijafanyiwa registration kwenye system na hakuna location yeyote inaonesha kuna hiyo kampuni yenu hapa DSM na Tanzania not found details zozote kuhusu nyie akakata simu nikamrudia muhusika aliyetuma mzigo anitumie resit WhatsApp ya mzigo aliotuma lkn aliniambia kuwa resit ipo ndani ya parcel nikajua hapa napigwa changa la macho .

Lakini kila nikiwabana walichomoa mitego yote na mwishowe wakaniblock kabisa mpaka yule wa UK lakini cha kushangaza huyu bwana anaonekana Ana connection na watu wa Tanzania. Je kwa njia kama hii atakuwa amewapiga wangapi maana ni njia ambayo Ni professional ngumu kujua kama ni mtego maana picha alinitumia za mzigo kabla ya kutuma na baada ya kuufunga vizur alinionesha picha isipokuwa risiti na hapo ndIo mashaka yalinianza kunicheza najua Kama sio kuwa na experience kubwa na IQ ya Kung'amua mambo mm ni mastermind kwa KIWANGO kikubwa kuweni makini nanhii mitandao ngoja nioneshe mfano wa parcel

Ni hatari Sana kwa njia hii huyu jamaa atawaibia wengi Sana maana anàtumia akili kubwa Sana ni ngumu kuvuka huu mtego Hakika kama sio kuangukia pua kupigwa pesa

IMG-20200809-WA0018.jpg
 
Watanzania wenzangu kuwenu makini sana na hawa watu wa huko mitandaoni wanaojifanya wanaishi USA, UK ni matapeli watupu hao wanakuwa na trick nyingi za kukudanganya na usipokuwa makini utaingia Chaka kwa kupigwa pesa

Kilichonishangza ni uweledi na umakini walionao hawa watu katika kuandaa mkakati wa kudanganya maana kwa nyia wanaotumia ngumu kukwepa au kujua kuwa hwa ni wezi imagine mzigo umeuona na umepigiwa simu kuwa ushafika kwa njia ya simu ya Tanzania kumbe huyu bwnaa yeye atakuwa anaconnection na watu fulani hapa Tz na kwa njia hii atakuwa amewadanganya wengi sana kuweni makini sana watz
 
Ukishasikia utume ela wa kukutumia mzgio jua kekundu halafu siyo kirahisi hivyo mtu eti akutumie zawadi
 
Habarini za leo ndugu zangu najua wote wazima wa afya kabisa
Leo nataka kuwajulisha juu ya hili swala la wizi wa mitandaoni hasa hii mitandao ya kijamii . Twitter, Face book, Instagram,Email. WhatsApp na mingine mingi kumekuwa na wizi wa technology unaindelea huko .Hapa leo nitaelezea kisa kimoja nilichokumbana nacho Mimi iliniwaweke attention na wengine.

Nilikutana na brother mmoja hivi kwenye mtandao wa Facebook alinitumia friend request kama ilivyoada nikaaccept as a friend binafsi napendelea kumee with new people's around the world kushare mambo mengi kama ilivyo priority yangu .Huyu braza alisema yeye anaishi England vizuri na mimi nikamwambia naishi Tanzania ingawa alikuwa hapajui wala Hana idea na Tanzania tuliongea mengi kikubwa alikuwa anatumia mtandao wa WhatsApp hivyo tukabadilishiana namba siku zikasonga tukawa tunachati mara moja moja kama salam vile .One day akaniuliza kuhusu climate conditions ya Tanzania ana angependa kuja Tz siku moja kutembea nikamwambia unakaribishwa sana .Binafsi Mimi ni miongoni mwa watu ninao pigia promo nchi yang Tz kuitambulisha nahisi ningepewa ubaloz wa nje kbsa

Huyu bwana nilimuhoji maswali mengi Sana hasa la yeye mbona kama Ana asili ya India lkn hakunijibu ilivyotakiwa pia anaishi England sehem gani pia alinitatiza hapa siku moja akaniambia anataka kunitumia zawadi kutoka UK nikamwambia ni Jambo jema nikampa anuawani yangu ambayo ndo huwa natuamiga kupokea gift cards kutoka USA, Australia .Aliniambia nichague gifts mm nikamwambia PC laptop na perfume alikubali lkn mm nikiwa na mashaka sikutilia maanani kabsa aliniambia kuwa two days utakuwa umefika Tz aliniambia na contact nimpe ili ukifika mawakala wanipigie .Kweli walinipigia simu siku ilikuwa ni siku ya j,tatu asubuhi kuwa Kuna mzigo wang kutok UK nikawambia ndio wakaniambia mzigo upo office kwao Arusha so mm natakiwa kulipa claarence forwarding iliwautume to DSM kiasi Cha laki tatu na nusu ndani ya masaa ishirini na manne niwe nishatuma hiyo pesa .

Kumbuka hapo muhusika hajaniambia chochote kuhusu suala la malipo yeye alikuwa ananihimiza tu na namba anayotumia sio ya Tz hapa mm nikachekecha akili nikaanza kumtrack huyu bwana Toka mwanzoni nilianza kuwa na mshaka nae maana hata mazingira sio ya UK nikaanza kumfuatilia marafiki zake wa FB sio wazungu Ni wahindi na wabongo wachache kingine nilichogundua hata native languages yake sio ya mwingereza kabisa huwezi amini hata mimi kuna mda nilikuwa nàmshinda ngeli ilinipa mashaka .Nikamwambia mbona huku wananicharge tena na mzigo mbona umefikia mkoa mwingine tofauti na DSM kama ulivyotuma aliniambia we ongea nae nikampa nambaza hawa mawakala wa hapa bongo akaongea nao ndani ya dakika mbili hawa mawakala wananipigia simu kuwa washaongea na mtumaji kuwa malipo ya huku mm ndo nahusika to sio yeye . Basi nikawambia kuwa uleteni mzigo mpaka DSM then mm nikishaona mzigo ndo nalipa hiyo pesa wakagoma .Mimi Kama mastermind nikawambia bhac Kama ni hivyo ngoja nitume mtu hapo ofisini kwenu aje akague mzigo then awalipe hiyo pesa na hapa wakagoma nikachekecha akili nikawambia nipe jina la kampuni yenu na mahali inapopatikana huko Arusha wakanitajia jina nilisolielewa nikalitrack Google halipo nikawapigia mbona kampuni yenu inaonekana haijafanyiwa registration kwenye system na hakuna location yeyote inaonesha kuna hiyo kampuni yenu hapa DSM na Tz not found details zozote kuhusu nyie akakata simu nikamrudia muhusika aliyetuma mzigo anitumie resit WhatsApp ya mzigo aliotuma lkn aliniambia kuwa resit ipo ndani ya parcel nikajua hapa napigwa changalamacho .

Lakini kila nikiwabana walichomoa mitego yote na mwishowe wakaniblock kabisa mpaka yule wa UK .lakini cha kushangaza huyu bwana anaonekana Ana connection na watu wa Tz je kwa njia kama hii atakuwa amewapiga wangapi maana ni njia ambayo Ni professional ngumu kujua kama ni mtego maana picha alinitumia za mzigo kabla ya kutuma na baada ya kuufunga vizur alinionesha picha isipokuwa risiti na hapo ndo mashaka yalinianza kunicheza najua Kama sio kuwa na experience kubwa na IQ ya Kung,amua mambo mm ni mastermind kwa KIWANGO kikubwa kuweni makini nanhii mitandao ngoja nioneshe mfano wa parcel
Ni hatari Sana kwa njia hii huyu jamaa atawaibia wengi Sana maana anàtumia akili kubwa Sana ni ngumu kuvuka huu mtego Hakika kama sio kuangukia pua kupigwa pesaView attachment 1540971
Teh,huu wizi ni wa kishamba mnoo na wanapigwa wapenda zawadi!

Ukweli ni kwamba code namba za nchi flani mtu ananunua tu line kupitia mtu alieko huko na yeye anajisajili anatumia wasap tu!

Hawa matapeli wapo bongo hapa hapa

Mzigo wa kweli ambao hauna magumashi hutumwa mpaka DHL au Posta utafika unauona na kama kuna gharama utalipa na kupewa risti.

Nje ya hapo utalizwa tu

Mwisho ogopeni ofa za bure bure na ukiambiwa tuma pesa hata kama ni 500 shituka.

Wahanga wakuu wa hili ni ma slay Queen [emoji73]!!
 
Habarini za leo ndugu zangu najua wote wazima wa afya kabisa
Leo nataka kuwajulisha juu ya hili swala la wizi wa mitandaoni hasa hii mitandao ya kijamii . Twitter, Face book, Instagram,Email. WhatsApp na mingine mingi kumekuwa na wizi wa technology unaindelea huko .Hapa leo nitaelezea kisa kimoja nilichokumbana nacho Mimi iliniwaweke attention na wengine.

Nilikutana na brother mmoja hivi kwenye mtandao wa Facebook alinitumia friend request kama ilivyoada nikaaccept as a friend binafsi napendelea kumee with new people's around the world kushare mambo mengi kama ilivyo priority yangu .Huyu braza alisema yeye anaishi England vizuri na mimi nikamwambia naishi Tanzania ingawa alikuwa hapajui wala Hana idea na Tanzania tuliongea mengi kikubwa alikuwa anatumia mtandao wa WhatsApp hivyo tukabadilishiana namba siku zikasonga tukawa tunachati mara moja moja kama salam vile .One day akaniuliza kuhusu climate conditions ya Tanzania ana angependa kuja Tz siku moja kutembea nikamwambia unakaribishwa sana .Binafsi Mimi ni miongoni mwa watu ninao pigia promo nchi yang Tz kuitambulisha nahisi ningepewa ubaloz wa nje kbsa

Huyu bwana nilimuhoji maswali mengi Sana hasa la yeye mbona kama Ana asili ya India lkn hakunijibu ilivyotakiwa pia anaishi England sehem gani pia alinitatiza hapa siku moja akaniambia anataka kunitumia zawadi kutoka UK nikamwambia ni Jambo jema nikampa anuawani yangu ambayo ndo huwa natuamiga kupokea gift cards kutoka USA, Australia .Aliniambia nichague gifts mm nikamwambia PC laptop na perfume alikubali lkn mm nikiwa na mashaka sikutilia maanani kabsa aliniambia kuwa two days utakuwa umefika Tz aliniambia na contact nimpe ili ukifika mawakala wanipigie .Kweli walinipigia simu siku ilikuwa ni siku ya j,tatu asubuhi kuwa Kuna mzigo wang kutok UK nikawambia ndio wakaniambia mzigo upo office kwao Arusha so mm natakiwa kulipa claarence forwarding iliwautume to DSM kiasi Cha laki tatu na nusu ndani ya masaa ishirini na manne niwe nishatuma hiyo pesa .

Kumbuka hapo muhusika hajaniambia chochote kuhusu suala la malipo yeye alikuwa ananihimiza tu na namba anayotumia sio ya Tz hapa mm nikachekecha akili nikaanza kumtrack huyu bwana Toka mwanzoni nilianza kuwa na mshaka nae maana hata mazingira sio ya UK nikaanza kumfuatilia marafiki zake wa FB sio wazungu Ni wahindi na wabongo wachache kingine nilichogundua hata native languages yake sio ya mwingereza kabisa huwezi amini hata mimi kuna mda nilikuwa nàmshinda ngeli ilinipa mashaka .Nikamwambia mbona huku wananicharge tena na mzigo mbona umefikia mkoa mwingine tofauti na DSM kama ulivyotuma aliniambia we ongea nae nikampa nambaza hawa mawakala wa hapa bongo akaongea nao ndani ya dakika mbili hawa mawakala wananipigia simu kuwa washaongea na mtumaji kuwa malipo ya huku mm ndo nahusika to sio yeye . Basi nikawambia kuwa uleteni mzigo mpaka DSM then mm nikishaona mzigo ndo nalipa hiyo pesa wakagoma .Mimi Kama mastermind nikawambia bhac Kama ni hivyo ngoja nitume mtu hapo ofisini kwenu aje akague mzigo then awalipe hiyo pesa na hapa wakagoma nikachekecha akili nikawambia nipe jina la kampuni yenu na mahali inapopatikana huko Arusha wakanitajia jina nilisolielewa nikalitrack Google halipo nikawapigia mbona kampuni yenu inaonekana haijafanyiwa registration kwenye system na hakuna location yeyote inaonesha kuna hiyo kampuni yenu hapa DSM na Tz not found details zozote kuhusu nyie akakata simu nikamrudia muhusika aliyetuma mzigo anitumie resit WhatsApp ya mzigo aliotuma lkn aliniambia kuwa resit ipo ndani ya parcel nikajua hapa napigwa changalamacho .

Lakini kila nikiwabana walichomoa mitego yote na mwishowe wakaniblock kabisa mpaka yule wa UK .lakini cha kushangaza huyu bwana anaonekana Ana connection na watu wa Tz je kwa njia kama hii atakuwa amewapiga wangapi maana ni njia ambayo Ni professional ngumu kujua kama ni mtego maana picha alinitumia za mzigo kabla ya kutuma na baada ya kuufunga vizur alinionesha picha isipokuwa risiti na hapo ndo mashaka yalinianza kunicheza najua Kama sio kuwa na experience kubwa na IQ ya Kung,amua mambo mm ni mastermind kwa KIWANGO kikubwa kuweni makini nanhii mitandao ngoja nioneshe mfano wa parcel
Ni hatari Sana kwa njia hii huyu jamaa atawaibia wengi Sana maana anàtumia akili kubwa Sana ni ngumu kuvuka huu mtego Hakika kama sio kuangukia pua kupigwa pesaView attachment 1540971
Wizi wa kizamani saaaaaaaaaaana.
 
Kuwasaidia wapenda zawadi.

Ni kampuni chache sana ambazo zinatuma mizigo kati ya Ulaya na Africa. DHL/Parcel force/UPS/Fedex hawa ndio top 4.

Hawa wote huwa wanatoa tracking number. Kwa hiyo tracking number utaweza kujua hatua zote tangu mzigo unatoka kitongoji ulipotumwa hadi Dar.

Kampuni hizi mara nyingi mizigo yao hufikia Airport, TRA hufanya assesment kutoa Control number na malipo hufanywa kwa mitandao ya simu au wakala.

Kuna njia nyingine ya jamaa wanasafirisha ki local local hii wanaita Door to Door, hii inafanywa na Wanzazibari zaidi na hufanya huduma kati ya UK na TZ kupitia Zanzibar. Hawa huwa na maofisi ya kuchukulia mizigo Kariakoo au Magomeni. Huwa unalipia na kupewa mzigo wako hapo hapo.
 
Huu wizi wa kawaida mno. Nakushangaa unajiita MASTERMIND na mwenye IQ kubwa kwa wizi ambao hata nilipokuwa form 2 usingeniibia hivi.
 
[emoji23]hii kitu kuna mtu namfahamu kabisa alipigwa mchana kweupe baada ya kupigwa ndiyo akajifanya kuomba ushauli
 
Habarini za leo ndugu zangu najua wote wazima wa afya kabisa
Leo nataka kuwajulisha juu ya hili swala la wizi wa mitandaoni hasa hii mitandao ya kijamii . Twitter, Face book, Instagram,Email. WhatsApp na mingine mingi kumekuwa na wizi wa technology unaindelea huko .Hapa leo nitaelezea kisa kimoja nilichokumbana nacho Mimi iliniwaweke attention na wengine.

Nilikutana na brother mmoja hivi kwenye mtandao wa Facebook alinitumia friend request kama ilivyoada nikaaccept as a friend binafsi napendelea kumee with new people's around the world kushare mambo mengi kama ilivyo priority yangu .Huyu braza alisema yeye anaishi England vizuri na mimi nikamwambia naishi Tanzania ingawa alikuwa hapajui wala Hana idea na Tanzania tuliongea mengi kikubwa alikuwa anatumia mtandao wa WhatsApp hivyo tukabadilishiana namba siku zikasonga tukawa tunachati mara moja moja kama salam vile. One day akaniuliza kuhusu climate conditions ya Tanzania ana angependa kuja Tz siku moja kutembea nikamwambia unakaribishwa sana .Binafsi Mimi ni miongoni mwa watu ninao pigia promo nchi yang Tz kuitambulisha nahisi ningepewa ubaloz wa nje kbsa

Huyu bwana nilimuhoji maswali mengi Sana hasa la yeye mbona kama Ana asili ya India lkn hakunijibu ilivyotakiwa pia anaishi England sehem gani pia alinitatiza hapa siku moja akaniambia anataka kunitumia zawadi kutoka UK nikamwambia ni Jambo jema nikampa anuawani yangu ambayo ndo huwa natuamiga kupokea gift cards kutoka USA, Australia .Aliniambia nichague gifts mm nikamwambia PC laptop na perfume alikubali lkn mm nikiwa na mashaka sikutilia maanani kabsa aliniambia kuwa two days utakuwa umefika Tz aliniambia na contact nimpe ili ukifika mawakala wanipigie .Kweli walinipigia simu siku ilikuwa ni siku ya j,tatu asubuhi kuwa Kuna mzigo wang kutok UK nikawambia ndio wakaniambia mzigo upo office kwao Arusha so mm natakiwa kulipa claarence forwarding iliwautume to DSM kiasi Cha laki tatu na nusu ndani ya masaa ishirini na manne niwe nishatuma hiyo pesa .

Kumbuka hapo muhusika hajaniambia chochote kuhusu suala la malipo yeye alikuwa ananihimiza tu na namba anayotumia sio ya Tz hapa mm nikachekecha akili nikaanza kumtrack huyu bwana Toka mwanzoni nilianza kuwa na mshaka nae maana hata mazingira sio ya UK nikaanza kumfuatilia marafiki zake wa FB sio wazungu Ni wahindi na wabongo wachache kingine nilichogundua hata native languages yake sio ya mwingereza kabisa huwezi amini hata mimi kuna mda nilikuwa nàmshinda ngeli ilinipa mashaka.

Nikamwambia mbona huku wananicharge tena na mzigo mbona umefikia mkoa mwingine tofauti na DSM kama ulivyotuma aliniambia we ongea nae nikampa nambaza hawa mawakala wa hapa bongo akaongea nao ndani ya dakika mbili hawa mawakala wananipigia simu kuwa washaongea na mtumaji kuwa malipo ya huku mm ndo nahusika to sio yeye . Basi nikawambia kuwa uleteni mzigo mpaka DSM then mm nikishaona mzigo ndo nalipa hiyo pesa wakagoma.

Mimi Kama mastermind nikawambia bhac Kama ni hivyo ngoja nitume mtu hapo ofisini kwenu aje akague mzigo then awalipe hiyo pesa na hapa wakagoma nikachekecha akili nikawambia nipe jina la kampuni yenu na mahali inapopatikana huko Arusha wakanitajia jina nilisolielewa nikalitrack Google halipo nikawapigia mbona kampuni yenu inaonekana haijafanyiwa registration kwenye system na hakuna location yeyote inaonesha kuna hiyo kampuni yenu hapa DSM na Tz not found details zozote kuhusu nyie akakata simu nikamrudia muhusika aliyetuma mzigo anitumie resit WhatsApp ya mzigo aliotuma lkn aliniambia kuwa resit ipo ndani ya parcel nikajua hapa napigwa changalamacho .

Lakini kila nikiwabana walichomoa mitego yote na mwishowe wakaniblock kabisa mpaka yule wa UK .lakini cha kushangaza huyu bwana anaonekana Ana connection na watu wa Tz je kwa njia kama hii atakuwa amewapiga wangapi maana ni njia ambayo Ni professional ngumu kujua kama ni mtego maana picha alinitumia za mzigo kabla ya kutuma na baada ya kuufunga vizur alinionesha picha isipokuwa risiti na hapo ndo mashaka yalinianza kunicheza najua Kama sio kuwa na experience kubwa na IQ ya Kung,amua mambo mm ni mastermind kwa KIWANGO kikubwa kuweni makini nanhii mitandao ngoja nioneshe mfano wa parcel

Ni hatari Sana kwa njia hii huyu jamaa atawaibia wengi Sana maana anàtumia akili kubwa Sana ni ngumu kuvuka huu mtego Hakika kama sio kuangukia pua kupigwa pesa

View attachment 1540971
Kama mpaka ulihangaika kufatilia yote hayo unayoeleza basi wewe bado mchanga sana kwenye matumizi ya mtandao na hata kifikira pia

Utapeli wa aina hiyo ulifanyika na kusambaa hapa TZ kuanzia mwaka 2000 ambapo ndio matumizi ya Internet yalianza kushika hatamu

So far hakuna mwenyeji kwenye mtandao anajibu Emails au social media posts za maudhui hayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wezi wa aina hii wapo wengi kila kona mitandaoni na wengi ni wanaigeria na waghana.
Ukiwa mzembe utaibiwa kila siku,haina hata haja ya kufungulia uzi.
 
Kingereza/English aiseee wengi wanatumia lugha hii kutapelia/katapeliwa

Mzungu/muhindi--- Hey friend how are you

Mimi---- Nyorokototo lomboloololo

Anakula kona mwenyewe yaani nimkaribishe anichagize mwishowe niingie king bure.... Mapema sana nakisanua ili hata asiangaike namimi
 
Watanzania wenzangu kuwenu makini sana na hawa watu wa huko mitandaoni wanaojifanya wanaishi USA, UK ni matapeli watupu hao wanakuwa na trick nyingi za kukudanganya na usipokuwa makini utaingia Chaka kwa kupigwa pesa

Kilichonishangza ni uweledi na umakini walionao hawa watu katika kuandaa mkakati wa kudanganya maana kwa nyia wanaotumia ngumu kukwepa au kujua kuwa hwa ni wezi imagine mzigo umeuona na umepigiwa simu kuwa ushafika kwa njia ya simu ya Tanzania kumbe huyu bwnaa yeye atakuwa anaconnection na watu fulani hapa Tz na kwa njia hii atakuwa amewadanganya wengi sana kuweni makini sana watz
Dunia ya leo usipokuwa makini unaweza kuliwa kiboga hivi hivi mazee. Wacha kuvamia watu na kutoa contact zako kirahisi. Wabongo wengi ni washamba na ni wazembe kwenye social media. Wanavamia vamia watu hovyo eti kutafuta marafiki. Wenzako hata kwenye account za Facebook wanachagua watu wa kuwa marafiki. Chunga sana hapo ulishaingia kingi sema ulikuja kushtukia.
 
Back
Top Bottom