BUMIJA JF-Expert Member Joined Oct 19, 2011 Posts 5,950 Reaction score 11,295 Sep 12, 2012 #1 Mitihani ya darasa la saba imekaribia,je unadhani ule mtindo wa Form one kuingia hawajui kusoma,usanii Tanzania hauzuiliki
Mitihani ya darasa la saba imekaribia,je unadhani ule mtindo wa Form one kuingia hawajui kusoma,usanii Tanzania hauzuiliki
Njunwa Wamavoko JF-Expert Member Joined Aug 11, 2012 Posts 5,757 Reaction score 2,368 Sep 12, 2012 #2 BUMIJA said: Mitihani ya darasa la saba imekaribia,je unadhani ule mtindo wa Form one kuingia hawajui kusoma,usanii Tanzania hauzuiliki Click to expand... hivi semina zilikuwa zipo au zimukuja after hiyo cana?mtihani wenyewe tarehe ngap kwani?
BUMIJA said: Mitihani ya darasa la saba imekaribia,je unadhani ule mtindo wa Form one kuingia hawajui kusoma,usanii Tanzania hauzuiliki Click to expand... hivi semina zilikuwa zipo au zimukuja after hiyo cana?mtihani wenyewe tarehe ngap kwani?
T Tito Msindo Member Joined Aug 16, 2012 Posts 12 Reaction score 0 Sep 13, 2012 #3 mtihani tarehe 19 na 20 septemba